Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Kinachofurahisha hii thread, dudubaya kaitwa nae gasho kwa sabbu ya kusema wenzake,okay
Sasa muanzisha thread nawe umemtaja dudu a.k.a umefanya alichokifanya yeye,tukueleweje?
By the way me naona waliotajwa wajitetee wenywe tu
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao... Vinasaba hivyo ni kama
.Sauti
. Mavazi
. Umbo
. Tabia
. Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi... Lakini akipita mahali na wengine kumi... Ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye....
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu.. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme.. Mjuaji yeye na mkamilifu yeye..... Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake....
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume... Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani... Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo... Ana dalili ya vinasaba vya ushoga
Godfrey ana tabia zote hizo, kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu... Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili....
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga... Sasa hivi yuko mitandaoni... What a coming back! Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika.... Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga..

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini... Sio kupayukapayuka tu... Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
😀😀😀
 
Acha kutetea vitendo vya ushoga oil chafu konki master acha amfunge paka kengele wengine walishashindwa
Hakuna nilipotetea ushoga.. Hili jambo ni tatizo kubwa kuliko unavyodhani...
 
Aisee mkuu leo umehudumia mteja punga?? Huenda kweli ni mission ya bashite kuvuruga media fulani lakini anachokisema jamaa kinaonekana ni kweli, mwanaume hupaswi kuinyamazia dhambi huo ni ukike.
Durtete yeye alikua ananyonga hawa watu miksa kuwachapa risasi hadharani.
Mungu alichoma sodoma na gomora kwa ajili ya hii dhambi.


Hujiulizi kwanini hata katika amri haipo hii ya ufiraji/ufirwaji? hii dhambi ilikua out of syllabus kabisa ni machukizo makubwa.

Napendekeza aje na listi ya tatu huenda guilty feelings zitawafanya waache huu ushetani.
 
Mshana Jr umekumbana na dhoruba ya MAMBAZ KONK KONKORD MASTER BLACK DIRTY OIL?
Hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
 
Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,

Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
Ndio uwezo wako wa kufikiri na wengine pia ulipofikia... Fuatilia mada zangu kuhusu ushoga utanijua vema... Mada mbona iko wazi sana hii muktadha wake?
 
Unachomlaumu kukifanya Dudubaya kwa wengine, ndicho na wewe umekifanya hapa dhidi yake..
Je, na wewe tukupime kwenye mizani hiyo hiyo mkuu?
Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom