Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Mshana kwani na we umetoka kwenye ile list ya tatu?
Hebu soma mada uielewe na muktadha wake... Kutajwa na jambo moja na kuthibitisha ni jambo lingine
 
Mshana kwani na we umetoka kwenye ile list ya tatu?
Hebu soma mada uielewe na muktadha wake... Kutajwa na jambo moja na kuthibitisha ni jambo lingine
 
Hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
Dddah..umenikumbusha jamaa waliopandaga jukwaani pale Mwembeyanga na kutoa list fulani..
 
Dah absolutely.nakukuelewa mkubwa.
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo

Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.

Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.

Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.

Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.

Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!

Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.

Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
 
Iko hivi ngoja nikueleweshe naona umeshaanza kupaniki... Zinaanzishwa nyuzi nyingi kila muda... Na members huchagua kuchangia tu uzi uliomvutia... Kama uzi haujakuvutia au kama unauona ni rubbish wala huhitaji kuumiza kichwa unaachana nao ili uokoe muda wako... Nadhani umenielewa sasa.... Ila kama uzi unauona ni rubbish still bado unakomaa nao hiyo ndio maana yangu
Watu wanakomaa na huu uzi coz wewe unapotosha jamii,unataka tukuache tuu uendelee kupotosha? Jifikirishe japo kidogo we jamaa!!
 
Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
kitumbo
 
umejishushia heshima sana kwenye haka ka thread kako, ulichokikataa kwa konk konk konk master, na wewe ndicho ulichokifanya. long maisha konk
Sikulaumu kwa kufuata mkumbo... Heshima yangu haijashuka bali imepanda... Tayari serikali imejitenga na habari yote...
Pamoja na kwamba siungi mkono tamko la serikali lenye kila dalili za woga lakini kwangu tamko hilo ni ushindi dhidi yenu, bashite na Godfrey
Next time msiongozwe na mihemko mkadhani tunajiandikia tuu
Screenshot_20181104-183022.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom