Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Acha kutetea vitendo vya ushoga oil chafu konki master acha amfunge paka kengele wengine walishashindwa
Wengi bado mnaishi kwenye gereza la fikra yakinifu
tapatalk_1540809541224.jpeg
 
Sikulaumu kwa kufuata mkumbo... Heshima yangu haijashuka bali imepanda... Tayari serikali imejitenga na habari yote...
Pamoja na kwamba siungi mkono tamko la serikali lenye kila dalili za woga lakini kwangu tamko hilo ni ushindi dhidi yenu, bashite na Godfrey
Next time msiongozwe na mihemko mkadhani tunajiandikia tuuView attachment 921315
Hili tamko haliwezi kusafisha pumba uliyoiandika hapa,acha kutafuta pakutokea na kisha upunguze kukurupuka,usitake kuhamisha magoli.
 
Picha zinajieleza jamani hii dunia hii

Sie kina ray tutukanwe tu ila mmeyaona nilikua nawaambia mnabisha

Kuna video nimetumiwa mhhhhh!!!!!!mungu wangu dudu baya shame on you duuuuuh ndo hayo tena??
Pichani yupo na aliyekua patner wake shoga maarufu bilal mashauz


Tobaa!!!!!!!hii dunia hii jamani
4e5ecfe63927d7b8a2c36285de88cbae.jpg
4139872e3f36e2b6c5a014133c0764e6.jpg



Update: mke wa dudubaya akihojiwa 2014 anadai dudubaya ni shoga
 
Vita na mange kimambi inahitaji uwe msafii hasa konki master hio picha tu na marehem bilal mashauzi ni kosa kwake hahhaha
 
Mnajua kututoa nduki nyie. Haya mafumbo ya nini tena?? Yeye Konki kaweka hadharani nyie kama weupe mbona mnatufinyia?? Mwaga raziiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom