Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Heading inasemaje kwanza hebu tuanzie hapo... Imehoji? Imeuliza au imetoa taarifa?, ni muhimu sana kwanza kuelewa hilo
Pili maudhui yanasemaje, yamechambua? yamethibitisha? Yameweka mjadala? Ama yamehukumu?
Tatu hitimisho linasemaje? Hapo ndipo uliposhindiwa wewe na ndio ukaona nami mimeshindwa
Mshana Jr leo jipange brother!! Umekurupuka period!!
Unashindwa kabisa kutetea hoja zako, unauliza kama dudu ni Ngangaripoa sijui una maana gani? Context ya andiko lako ni vitisho, kwamba ajiangalie sana, unasema anataja watu bila kutafakari kwa kina, nani amekudanganya hilo? Hao watu aliowataja kwanza wapo kwenye media, na majina yao kuhusishwa na ushoga hayajaanza leo wala jana..
Watoke front wakanushe, we unadai Konki anatumiwa, wewe je nani anakutumia kupitia jukwaa hili la JF? Jipange bro, hii ngoma ngumu
 
Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,

Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
duh!!
 
Huyu mleta mada na wasiwasi naye dunia ya sasa ni ya utandawazi tofauti na zaman mtu kutaja kitu ambacho anauhakika nacho nikosa??we mtoa mada hujuelewi mtu kataja fulani ni shoga kilichotakiwa ni ushahidi aulete sasa wewe unaweweseka na nn mkuu
 
Najaribu kufikiria mama mzazi wa b dozen anajisikiaje saiz? Mke wa harris kapiga je?? Kama hakuna ushahidi ni vyema tukakaa kimya?? Fikiria kama angetajwa baba yako! Ndio, baba yako aliyekuzaa... vipi kama angetajwa na konki master? Tujiongeze
 
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo

Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.

Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.

Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.

Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.

Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!

Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.

Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.

Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
Project inaanzishwa na kanda ya ziwa inarukiwa na kanda ya ziwa, inashikiwa kidedea na kanda ya ziwa wote
 
Sasa huo ni mtazamo wako na sio msimano wangu... Nikikuzuia kufikiri unavyodhani wewe naweza kuwa mwendawazimu na ile slogan ya JF ya the home of great thinkers nitakuwa sijaitendea haki
Upo sawa,kuwa na mitazamo tofauti ni sehemu muhimu ya maisha
 
Hivi ule Ugomvi wake na Mr Nice Mkenda ilikuwa ni wa kugombea nini? Pana siri nzito sana hapo na anaijua Papa King Molel wa Arusha
 
Mshana Jr leo jipange brother!! Umekurupuka period!!
Unashindwa kabisa kutetea hoja zako, unauliza kama dudu ni Ngangaripoa sijui una maana gani? Context ya andiko lako ni vitisho, kwamba ajiangalie sana, unasema anataja watu bila kutafakari kwa kina, nani amekudanganya hilo? Hao watu aliowataja kwanza wapo kwenye media, na majina yao kuhusishwa na ushoga hayajaanza leo wala jana..
Watoke front wakanushe, we unadai Konki anatumiwa, wewe je nani anakutumia kupitia jukwaa hili la JF? Jipange bro, hii ngoma ngumu

Hii ngoma Mdau kazingua na kama kweli anaakili ameshafahamu alichokoroga.
 
Huyu mleta mada na wasiwasi naye dunia ya sasa ni ya utandawazi tofauti na zaman mtu kutaja kitu ambacho anauhakika nacho nikosa??we mtoa mada hujuelewi mtu kataja fulani ni shoga kilichotakiwa ni ushahidi aulete sasa wewe unaweweseka na nn mkuu

Mshana Jr alichopaswa kukisema hapa ni kusisitiza kama Konki anaushahidi autoe na si kuuliza kwa kumpa majina ya kijinga. Linapokuja swala linalodhalilisha Wanaume kwa kweli tutapambana mpaka mwisho. Ushoga ni udhalilishaji wa mwanaume ambaye ni mfano wa Mungu. hatutakubali kabisa.

Hii vita wengi tupo nyuma yake. Ikiwezekana Kifo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom