Dudubaya ni ngangaripoa?

Dudubaya ni ngangaripoa?

Kinachofurahisha hii thread, dudubaya kaitwa nae gasho kwa sabbu ya kusema wenzake,okay
Sasa muanzisha thread nawe umemtaja dudu a.k.a umefanya alichokifanya yeye,tukueleweje?
By the way me naona waliotajwa wajitetee wenywe tu
Mungu wangu hebu jaribuni kuwa na tafakuri pana... Mmeacha yote kwenye mada mmegeukia kwingine duu
Mada haijamhukumu, soma heading ina alama ya kuuliza je unajua matumizi ya alama hii?
 
Aisee mkuu leo umehudumia mteja punga?? Huenda kweli ni mission ya bashite kuvuruga media fulani lakini anachokisema jamaa kinaonekana ni kweli, mwanaume hupaswi kuinyamazia dhambi huo ni ukike.
Durtete yeye alikua ananyonga hawa watu miksa kuwachapa risasi hadharani.
Mungu alichoma sodoma na gomora kwa ajili ya hii dhambi.

Hujiulizi kwanini hata katika amri haipo hii ya ufiraji/ufirwaji? hii dhambi ilikua out of syllabus kabisa ni machukizo makubwa.

Napendekeza aje na listi ya tatu huenda guilty feelings zitawafanya waache huu ushetani.
Ushoga ni kitu kibaya na ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani... Lakini akili za wengi wanadhani kwa kutaja fulani ni shoga basi dawa imepatikana na tatizo limetatuka... We are totally wrong....
Ni kwa vile tunaishi nchi ya matukio halafu hatuna kumbukumbu lakini mtu kama Kapinga alishasemwa hapahapa tangu 2014
Hao wachache waliotajwa unadhani ndio mashoga pekee? Tunaofanya kazi na jamii tunajua vema... Ushoga ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. Ni kubwa sana na tuna mashoga wengi mno kuanzia kwenye ngazi ya familia mpaka kwenye idara nyeti kabisa za nchi
Waliotajwa wamekubuhu na wana historia ndefu... Wanajulikana...
Kama taifa lazima tuwe na dira na mpango kazi kwenye kila kitu... Tusipokuwa serious kila mwaka tutaishia kutajataja majina ya watu na kuishia hapo
 
Hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
 
Kwa mara ya kwanza namuona mshanajr akishindwa kuwa focused kwa kile anachokitetea,na amebaki kutapatapa kama mfa maji.Sio kwamba namtetea dudubaya ila ,nimeshindwa kuelewa uyu mshana kasimama wapi,naona ata mifano anayotoa ni irrelevant.
 
Heading inasemaje kwanza hebu tuanzie hapo... Imehoji? Imeuliza au imetoa taarifa?, ni muhimu sana kwanza kuelewa hilo
Pili maudhui yanasemaje, yamechambua? yamethibitisha? Yameweka mjadala? Ama yamehukumu?
Tatu hitimisho linasemaje? Hapo ndipo uliposhindiwa wewe na ndio ukaona nami mimeshindwa
 
Sema umetumia ujanja tu wa kuandika,lakini nikikusoma betwen the line ,hiyo alama ya kuuliza kwenye heading ni gelesha tu. Yaani ni kama umejificha kwenye shamba la karanga.
 
Sema umetumia ujanja tu wa kuandika,lakini nikikusoma betwen the line ,hiyo alama ya kuuliza kwenye heading ni gelesha tu. Yaani ni kama umejificha kwenye shamba la karanga.
Sasa huo ni mtazamo wako na sio msimano wangu... Nikikuzuia kufikiri unavyodhani wewe naweza kuwa mwendawazimu na ile slogan ya JF ya the home of great thinkers nitakuwa sijaitendea haki
 
Hebu tofautisha vina sana vyakujadili watu alivyo navyo Tumaini na wewe uliyemfuatilia ukamuanzishia uzi ndugu.
 
Oi oi oi, nipo hapa mamba konki konki a.k.a oil chafu leo nataja list ya mashoga wanaotumia mitandao ya kijamii naanza😂😂😂😂 mbona mestuka wadau
 
Hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
We Mshana tulia... Yule mtu wenu kawataja akina Kinana sijui mzee Makamba, kwamba wanavuruga nchi, anataja watu bila ushahidi umekaa kimya... Leo unaleta vitisho kwa The Dudu Konki..
Au we ndo unajifanya unajua namna bora ya kuendesha nchi? Kemea wale kwanza ndo uje huku.
 
Ni suala la muda tu hana mwisho mwema amejiingiza kwenye vita nzito sana.
Aliowataja watakuwa na hasira nae mbaya mbovu lkn ikithibitika Kama ni kweli Wale watu aliotaja wanajihusisha basi serikali imlinde sana nae ajilinde akome kutembea kwenye mabaa usiku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom