othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,524
- 11,860
Wanaacha dola wanatumia nn? au ndio hiyo rubo na yuani?Usisahau kuna utajiri wa kutoa kafara a. k. a utajiri wa nguvu za giza na mwisho wake unajulikana.
Sasahivi watu wanaachana na dola, tusubiri muda utasema

Hizi hela hata ukizikuta barabarani zimedondoshwa unaweza ukazipita tu

Ila dollars in mvuto wake