Wasauz wajanja sana🤣🤣wasingefika 2030...IPTV,VOD ilikuwa ndo inawamaliza Kila kukicha. Na hao Canal wawe makini sana wanaweza kupata hasara- ROI ikawa tatizo Kutokana na uraisi wa upatikanaji wa Movie na TV programs kupitia Fibre na 5G broadbandKampuni ya Multichoice ambayo ni mmiliki wa DsTV na GoTV wamekubaliwa kuuzwa kwa Canal Sports ya Ufaransa kwa kiasi cha Trilioni 5.
bei ishapanda zitakuwa effective kuanzia tarehe 1Cha kwanza wapunguze bei za vifurushi sahz hata hatulipii maana hamna kitu special zaidi ya epl
Atazidi kuogelea kwenye noti!Namuona mzee wangu mpungwe akikunja mpunga wa nguvu
Ova
😀😀 noma sana msitu ule ule nyani wale wale
Tutaanza kuangalia big match kwa sh 28,000Haya Ngoja tupate maoni ya wanazi wa dstv kutoka nchini Tanzania 😂
Sahau 😂Tutaanza kuangalia big match kwa sh 28,000
Sasa mimi mwenye CANAL na DSTV itakuaje