DSTV yauzwa kwa Canal+ kwa Trilioni 5

DSTV yauzwa kwa Canal+ kwa Trilioni 5

Ilikuwa ina elekea huko maana nwanzoni canal wali nunua share za dstv 31, mwaka 2023.

na multi choice bado walikuwa wana shindwa kuiendesha dstv, ma sheria ya nchi baadhi ziki wataka wapunguze subscription cost nayo ime changia.

Mwaka huu kamalizia hadi 55, hope itakuwa game changing deal kwa sisi watazamaji
 
Dstv vimewaua vitu viwili
1 competitive rivalry within the industry
Kwa Bongo Azam..kachangia sana kuwaua hawa ndugu
Ukizingatia jamaa wanatengeneza part local content na Dstv hawana local content za kutosha
2.Threat of substitute services or products eg online Tv,app enabled tv etc
Yaan baada ya hii ligi yetu kuoneshwa na azam sahv watu hawana time na ligi za ulaya hata kwa mjini watazamaj wamepungua sana

Kidogo uefa bado inawatazamaji wengi
 
Back
Top Bottom