KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,097
- 40,750
Sio yeye ni mimi ndio niliyeandika ile post......Katika hali ya kawaida kampuni yoyote hufanya uchunguzi wa namna ya kupata faida kabla ya kufanya uwekezaji....ukiachana na DStv kuonekana kuwa wako hoi kibiashara kwa mujibu wa data zako..... unadhani canal ni wajinga wafanye huo uwekezaji pasi na kujiridhisha namna ambavyo pesa Yao itarudi?Yeye ndo ameanza kejeli! Anafikiri watu wote wanapost utumbo kama yeye? Apeleke msongo wake wa mawazo kwa mkewe .
Mbona kama inaonekana wewe ndio mwenye msongo wa mawazo kwa namna unavyojibu kwa jazba hata kwenye mambo mepesi kama haya!!
Unaweza ukawa na uelewa mkubwa kwenye jambo lakini uwasilishaji wako ukatoa maana nzima ya mantiki yako!!
Unaonekana ni mtu mwenye exposure na uelewa mpana wa mambo lakini una tatizo la UJIVUNI na JAZBA....