IPTV ni TV inayotumia Internet badala ya satellite dishes au RF Antennas. VOD ni huduma ya kuangalia Movies etc Unayotaka wewe muhusika na sio kama DSTV Movie wanaweka studio na mtazamaji ana uwezo wa kuchagua anachotaka angalia..Mfano Hulu/Netflix . Nna uwezo wa kuchagua Nini cha kuangalia,naweza sogeza Mbele kile nnachoangalia,naweza stopisha niangalie baadae etc.So Huduma kama DSTV azina miaka mingi kwenye soko na Nchi kama USA nyingi zimeshafungwa.Tafuta hii app (nimeatach screen shot yake hapa) ina zaidi ya Movies,series 10,000.unazoweza angalia utakavyo wewe hii ni mfano wa VOD