DSTV yauzwa kwa Canal+ kwa Trilioni 5

DSTV yauzwa kwa Canal+ kwa Trilioni 5

Aisee...multi choice ilikua inapumulia mashine kutokana na ushindani mkubwa uliopo Sasa wakaamua isiwe kesi ..kwaio sasahivi dstv itabadilishwa jina?

Hapo ndo patamu. Inapaswa waiue ili brand ya canal ibaki au dstv iwe imara kwa ajili ya locals tu kama ilivyo kwa azam na star times. Kisha canal awe mbabe africa nzima kwa international entertainments.

Mafahari wawili kuwatembeza pamoja ni mtihani.
 
Wasauz wajanja sana🤣🤣wasingefika 2030...IPTV,VOD ilikuwa ndo inawamaliza Kila kukicha. Na hao Canal wawe makini sana wanaweza kupata hasara- ROI ikawa tatizo Kutokana na uraisi wa upatikanaji wa Movie na TV programs kupitia Fibre na 5G broadband
Inabidi na wao wasambaze huduma kwa kutumia hizi njia halafu wapunguze bei. Ulaya sasa hivi haya mambo ya madishi na antena ni kama yamekufa kabisa. Karibu kila nyumba ina connection ya internet kwa fiber au cable na TV channels zote zinapatikana. Tatizo la sehemu kama Bongo labda ni miundo mbinu....
 
Wasauz wajanja sana🤣🤣wasingefika 2030...IPTV,VOD ilikuwa ndo inawamaliza Kila kukicha. Na hao Canal wawe makini sana wanaweza kupata hasara- ROI ikawa tatizo Kutokana na uraisi wa upatikanaji wa Movie na TV programs kupitia Fibre na 5G broadband
Ukiichunguza sana Canal unaona mkono wa serikali ya Ufaransa.
Ufaransa inataka kuwa sehemu ya control ya maudhui yanayotolewa Afrika na ina faida kisiasa, ila sasa Canal+ ni French speaking sasa kwa English speaking wafanyeje waanzishe kampuni mpya itumie miaka 10+ kufanya penetration, na wakati huo DSTV iko hatihati kuwa taken over na owner mwingine na ina users wengi zaidi English speaking? Hapana.

Hata hivyo kibiashara bado takeover hii italipa, ukiachana na malipo ya kisiasa. Ufaransa imejificha lakini ukiichungulia unaiona.
 
Hivi tume za ushindani huwa zinaruhusu hiki kitu? Maana kinaua ushindani sawa na Tigo kununua Zantel. Ni ajabu sana
Serikali ya South Africa kuna hisa kadhaa ilikuwa inataka zimilikiwe na raia. Nakumbuka Patrice Mostepe alikuwa interested, na nilivyokuwa nimesoma ni kama alipata favourable deal.
 
Kwa tz wateja wao vibanda umiza lazima walipie compact plus na extra view
Kuna Dstv business unachagua channel kutokana na aina ya biashara kama kibanda umiza basi unachagua channel za mpira pekee na few extras. Kama ni nightclub labda unachagua za mziki na michezo n.k
 
Back
Top Bottom