3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 4,890
- 13,633
Simba ameshaenda ½ fainali
Yote mema tu..Droo imefanyika na Simba SC ya Tanzania itakipiga na Orlando Pirates ya Afrika Kusini
Juzi yalikua ya Jwaneng sisi taratiibu tunazidi kujenga jina AfricaYa Kaiser chief hayooo!!!
Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma: Draw Procedure: 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup Knockout Stage
Unafikiri Simba atakutana na timu gani?
===
UPDATES
Droo imefanyika na Simba SC ya Tanzania itakipiga na Orlando Pirates ya Afrika Kusini
Mkuu mimi mnazi wa Simba mwenzio hivyo. Nimegundua Pirates wanapigika hapa na kwao. CEO atengeneze mikakati tu. Tunapita tu kwa uwezo wake Mola.Juzi yalikua ya Jwaneng sisi taratiibu tunazidi kujenga jina Africa
Ana nafasi kubwa tu ya kucheza final manake akitoka kwa Msouth anaenda LibyaSimba ameshaenda ½ fainali
Nashangaa wanaoogopa as long as kila timu inaingiza wachezaji 11 na kanuni za mchezo ni zilezile sioni cha kuhofia hata kidogo simba anasonga mbeleAna nafasi kubwa tu ya kucheza final manake akitoka kwa Msouth anaenda Libya
Kwa hiyo ingekuwa ni Yanga yako kauli mbiu yenu ya daima mbele ungeikana kisa umepangwa na Orlando timu uiogopayo?MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE
WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO
MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO
ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
Sawa mkuuHujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.
MKUU KUNA SEHEMU NIMEANDIKA NAIOGOPA ORLANDO?😆Kwa hiyo ingekuwa ni Yanga yako kauli mbiu yenu ya daima mbele ungeikana kisa umepangwa na Orlando timu uiogopayo?
Hii ni pigo kwa Simba,timu nzuri ilikuwa zile za Waarabu kama iliyocheza na Biashara Al Ahly Tripoli au Al Ittihad zote za LibyaDroo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma: Draw Procedure: 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup Knockout Stage
Unafikiri Simba atakutana na timu gani?
===
UPDATES
ROBO FAINALI - CAFCC: SIMBA KUIVAA ORLANDO PIRATES
Droo ya Robo Fainali ya Michuano ya Shirikisho Barani Afrika imechezeshwa leo ambapo Klabu ya Simba kutoka Tanzania itavaana na Klabu ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini
Simba ilimaliza ya pili katika Kundi D ikiwa na alama 10 sawa na kinara wa Kundi hilo, RSB Berkane. Orlando Pirates ilikuwa kinara wa kundi B ikiwa na alama 13