Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Abiria wanaosafiri kwa ndege ya ATC Dreamliner, toka Mwanza kwenda Dar es Salaam wamekwama kuondoka kutokana na hitilafu za kiufundi kwenye ndege mpya Dreamliner. Ndege hiyo ilitegemewa kuondoka saa 2.50 usiku na abiria walikuwa wameisha panda mabasi na kuelekea kwenye ndege lakini wamerudishwa Departure Lounge. Mpaka saa tano usiku, abiria bado wapo wakisubiri matengenezo yakamilike na Inshaallah, safari ianze
😱😡
 
Katika mishangao mikubwa kabisa ni ofisi ya Ufipa ilivyo na ruzuku havifanani.
kuna uhusiano gani kati ya nilichoandika na ulichoandika had ukaamua kuniquote, kwa hiyo ulivyokurupuka umejiona mjanja kweli
 
Abiria wanaosafiri kwa ndege ya ATC Dreamliner, toka Mwanza kwenda Dar es Salaam wamekwama kuondoka kutokana na hitilafu za kiufundi kwenye ndege mpya Dreamliner. Ndege hiyo ilitegemewa kuondoka saa 2.50 usiku na abiria walikuwa wameisha panda mabasi na kuelekea kwenye ndege lakini wamerudishwa Departure Lounge. Mpaka saa tano usiku, abiria bado wapo wakisubiri matengenezo yakamilike na Inshaallah, safari ianze
Acha urongo ndugu. Kuwa mzalendo
 
Naam nawezee wake sapot
IMG-20180821-WA0030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,mimi ni mtanzania na nalipenda sana taifa langu,lakini sitokubali kuwa mjinga na kupoteza sifa zangu kwasababu za kijinga zinazoitwa uzalendo,Uzalendo haina maana usifu kila kitu kinachofanywa na serikali hata japo kiuwa kitu hicho ni cha kipuuzi,Mkuu mimi najielewa sana..

Hajo hapa sio nchi gani ina umeme zaidi ya mwenzake,hoja ni kuwa watanzania bado tuko nyuma kimawazo na fikra,haiwezekani katika miaka hii tunayoishi watu wameshaenda mwezini na kurudi hivi sasa wanafanya safari ya kwenda kuishi Mars,sisi bado tunashangilia na kupagawa katika mitandao kwa sababu ya ndege, wakati wenzetu ndge kamahizo wanazo kama mafungu ya nyanya,pale ingelikuwa Tanzania inaongoza kwa wingi wa hizo ndege nigelielewa..,

Sasa hebu nambia watanzania wanashangilia nini!?wanashangilia ukubwa wa ndege,uzuri wa ndege,hawajawahi kuiona ndege kama hiyo au nini!?..

Siwezi hata siku moja kama mtanzania ninaejielewa kuwa na PRIDE ya kushangilia ndege ambayo wenzetu wanazo kwa mafungu,"It will insult my intelligence" nigeshangilia pale ingelikuwa Tanzannia ndio nchi ya mwanzo katika Afrika kuwa na ndege kama hiyo,auTanzania ni nchi ya mwanzo katika Afrika kuwa na ndege nyingi kama hizo...

Mkuu,huwezi kufananisha Kenya na Tanzania kwa miaka hii,Kenya ni nchi ya viwanda Tanzania ndio kwanza inapiga kelele katika sera za viwanda,Tanzania ilikuwa inaipita Kenya katika siasa,hivi sasa Kenya hatuwapati kwenye siasa,sisi huku tunauwa au kuwafunga wapinzani wa kisiasa wao wanapatana na kukaa meza moja kujenga nchi yao,,

Tumerudi nyuma kama moja katika nchi bora katika Afrika chini ya jangwa sahara mpaka kuwa nchi ambayo dunia nzima inaiongelea vipi inawatesa raia wake,na vipi raia wake mpakakarne hii wanashangilia na kuishangaa ndege,kuanzia raia mpaka raisi
Unajua kuna analyses zinafanyika na tunatakiwa tuzisome kuongeza ufahamu wetu. Kwa nini unaamini Kenya ni nchi ya viwanda? Labda ni tatizo la hii kiswahili. Kwa english kuna factories na Industries. Je, Kenya kuna industry ngapi? Au hizo factories ndo unaona hatulingani?

Quoting M7, Kenya kujivuna au wewe kusifu ni mabishano ya dwarf. Kuna mbilikimo mrefu kuliko mwingine? yes! lakini wote si ni mbilikimo? Yes! What next?
 
Unajua kuna analyses zinafanyika na tunatakiwa tuzisome kuongeza ufahamu wetu. Kwa nini unaamini Kenya ni nchi ya viwanda? Labda ni tatizo la hii kiswahili. Kwa english kuna factory na Industry. Je, KEnya kuna industry ngapi? Au hizo factory ndo unaona hatulingani?

Quoting M7, Kenya kujivuna au wewe kusifu ni mabishano ya dwarf. Kuna mbilikimo mrefu kuliko mwingine? yes! lakini wote si ni mbilikimo? Yes! What next?
Je unayo habari kuwa Tanzania iliitangulia Kenya kupata uhuru? Je unayo habari kwamba baada ya kuanzishwa kwa sarafu zetu shilingi moja ya Kenya ilikuwa na thamani sawa na shilingi moja ya Tanzania? Je kwa sasa unayo habari kwamba shilingi moja ya Kenya ina thamani sawa na shilingi ngapi za Tanzania?

Kwa kukusaidia tu...shilingi moja ya Kenya ni sawa na shilingi ishirini na tatu za Tanzania. Je unadhani ni kitu gani kimesababisha tofauti kama hiyo kuwepo? Kalaghabaho!
 
Pole! Huo ndo msaada Boss? Mbona naona kama shuleni ulitoroka? Hapa JF ukiwa mtulivu unaweza kuongeza ufahamu, tatizo ni kukomaa na kuamini unafahamu. Hayo yote unayoeleza yana uhusiano gani na kinachojadiliwa? Unaongelea uhuru tena! UK na US nani alimtawala mwingine? Nani ana uchumi mkubwa kuliko mwingine?

Uchumi siyo ligi ya Uingereza. Ukitaka kuujua, imarisha akili yako.
 
Pole! Huo ndo msaada Boss? Mbona naona kama shuleni ulitoroka? Hapa JF ukiwa mtulivu unaweza kuongeza ufahamu, tatizo ni kukomaa na kuamini unafahamu. Hayo yote unayoeleza yana uhusiano gani na kinachojadiliwa? Unaongelea uhuru tena! UK na US nani alimtawala mwingine? Nani ana uchumi mkubwa kuliko mwingine?

Uchumi siyo ligi ya Uingereza. Ukitaka kuujua. imarisha akili yako.
Wow! Samahani sana Patriot, naona kama vile niliingia choo cha kike..am so sorry, bear with me! Nilidhani umekomaa na si kama hivi viwavi vilivyovamia JF karibuni. There was a time I thought you were better than this, oh, how wrong I was!
 
Mda wote tulishindwa kununua Dreamliner , yeye kanunua kwa nini tusimpongeze? Tuseme kama nyumbani kwangu nimeishi kwenye mbavu za mbwa kwa mda mrefu akaibuka ndugu akajenga nyumba ya kisasa sitampongeza?? Udipompongeza ni wivu wa kijinga ,kwani hata hulali humo lakini nyumbani pamependeza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow! Samahani sana Patriot, naona kama vile niliingia choo cha kike..am so sorry, bear with me! Nilidhani umekomaa na si kama hivi viwavi vilivyovamia JF karibuni. There was a time I thought you were better than this, oh, how wrong I was!
No need for wow! At any informed talks, no need for surprises. Surprises are not brain gifts for adults. Let students enjoy that.
 
Unajua kuna analyses zinafanyika na tunatakiwa tuzisome kuongeza ufahamu wetu. Kwa nini unaamini Kenya ni nchi ya viwanda? Labda ni tatizo la hii kiswahili. Kwa english kuna factory na Industry. Je, KEnya kuna industry ngapi? Au hizo factory ndo unaona hatulingani?

Quoting M7, Kenya kujivuna au wewe kusifu ni mabishano ya dwarf. Kuna mbilikimo mrefu kuliko mwingine? yes! lakini wote si ni mbilikimo? Yes! What next?
Mkuu,najua kwanini Kenya ni nchi ya viwanda,lakini hiyo haina maana kuwa nisiipe Kenya sifa kuwa ni nchi ya viwanda katika ukanda wa Afrika Mashariki,Moja katika sababu inayoifanya Kenya kuwa "economic super Power" katika Afrika Mashariki ni kuwa inajitosheleza kwa kiasi fulani katika uchumi wake kutokana na viwanda ilivyokuwa navyo..Wakati nchi kama Tanzania inategemea kuagiza kila kitu kutoka Nje ya nchi,...

Mkuu nina "A" level katika lugha ya Kingereza nimeichukulia UK,kwa hiyo "you can express yourself the way you like" nitakufahamu tu,"factory na kiwanda" ni neno lenye maana moja lakini lugha tafauti,"Industry" kwa kiswahili ni "kiwanda kikubwa"...

Ukilinganisha Tanzania na Kenya hatulingani kwa chochote katika sekta ya viwanda,wao wametupita katika "factories",na hata katika "Industries",yaani katika viwanda vikubwa na vidogo,ukweli lazima ubake ukweli Tanzania haiipati Kenya kiuchumi,wakati sisi na Raisi wetu tunahemkwa kushangilia ndege moja aina ya "Dreamliner" wao wanazo 9

Wakati Tanzania bado inategemea misaada kutoka nje,Uhuru Kenyatta katangaza mwaka jana Kenya imejitoa kuwa nchi tegemezi,kwani asilimia 80 ya bajeti yake inajitegemea wenyewe..

Mkuu,una mawazo ya kikomunisti au socialist kuwa unapiga makofi na kushangilia kila kitu anachozungumza Raisi na serikali yake hata kama kakosea hata kama ni uovu,mimi siko hivyo,uzalendo wangu mimi tafauti na wako,mimi nakosoa ili tujirekebishe huo ndio uzalendo wangu,wako wewe unasifu ili uonekane mko bora wakati hamna lolote..

Mwaka 2018 Raisi na wafuasi wa chama chake wanahemkwa,wanapagawa kushangilia Ndege,aibu,aibu,aibu😱😀,My advice is emancipate yourself from being bigot😉
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Amamweli hizi teuzi hizi zinawatoa ufahamu vijana wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.

kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
Wapo wengi wananunuliwa vitecno na kuunganishwa jf ili kuiongelea hiyo ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom