Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Kutu za ufipa.
Kutu za ufipa.
Ngoma ya watoto haikeshi. Utabandika bandika vipicha vya kuokota mtandaoni hadi utachoka na kulala.
HiiiiiiiiiiiiiiiiNgoma ya watoto haikeshi. Utabandika bandika vipicha vya kuokota mtandaoni hadi utachoka na kulala.
Bandika picha nyingine. Hii haitoshi.
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Weka picha nyingine. Nitazikusanya zote na kumkabidhi kiongozi wetu Mashinji.
Mashinji daah hiv yupo?Weka picha nyingine. Nitazikusanya zote na kumkabidhi kiongozi wetu Mashinji.
Jamaa yupo yupo hivi.Mash
Mashinji daah hiv yupo?
Hiv jamaa analipwa mshahara au anajitolea?Jamaa yupo yupo hivi.
Hatimaye Dreamliner iliondoka saa saba na nusu usiku badala ya saa 2.50 usiku,. Meneja wa ATC Mwanza alieleza kuwa uchelewaji huo ulitkana na tairi za ndege kuchemka wakati wa kutua hapo uwanjani. Rubani wa ndege alikuwa Kapteni Jalil.Acha urongo ndugu. Kuwa mzalendo
Nimejilazimisha kukuelewa. No Comments!Mkuu,najua kwanini Kenya ni nchi ya viwanda,lakini hiyo haina maana kuwa nisiipe Kenya sifa kuwa ni nchi ya viwanda katika ukanda wa Afrika Mashariki,Moja katika sababu inayoifanya Kenya kuwa economic super Power katika Afrika Mashariki ni kuwa inajitosheleza kwa kiasi fulani katika uchumi wake kutokana na viwanda ilivyokuwa navyo..Wakati nchi kama Tanzania inategemea kuagiza kila kitu kutoka Nje ya nchi,...
Mkuu nina "A" level katika lugha ya Kingereza nimeichukulia UK,kwa hiyo "you can express yoursel the way you like" nitakufahamu tu,"factory na kiwanda" ni neno lenye maana moja lakini lugha tafauti,"Indusrty" kwa kiswahili ni "kiwanda kikubwa"...
Ukilinganisha Tanzania na Kenya hatulingani kwa chochote katika sekta ya viwanda,wao wametupita katika "factories",na hata katika "Industries",yaani katika viwanda vikubwa na vidogo,ukweli lazima ubake ukweli Tanzania haiipati Kenya kiuchumi,wakati sisi na Raisi wetu tunahemkwa kushangilia ndege moja aina ya "Dreamliner" wao wanazo 9
Wakati Tanzania bado inategemea misaada kutoka nje,Uhuru Kenyatta katangaza mwaka jana Kenya imejitoa kuwa nchi tegemezi,kwani asilimia 80 ya bajeti yake inajitegemea wenyewe..
Mkuu,una mawazo ya kikomunisti au socialist kuwa unapiga makofi na kushangilia kila kitu anachozungumza Raisi na serikali yake hata kama kakosea hata kama ni uovu,mimi siko hivyo,uzalendo wangu mimi tafauti na wako,mimi nakosoa ili tujirekebishe huo ndio uzalendo wangu,wako wewe unasifu ili uonekane mko bora wakati hamna lolote..
Mwaka 2018 Raisi na wafuasi wa chama chake wanahemkwa,wanapagawa kushangilia Ndege,aibu,aibu,aibu😱😀,My advice is emancipate youself from being bigot😉
sio mbaya, unaanza kujielewa....Nimejilazimisha kukuelewa. No Comments!
Hii ndo shida ya kukariri madesa vyuoni. Always about theories instead of practical solutions.Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Theories kufufua shirika la ndege la Taifa, ambalo mpaka sasa wana ndege zinazofanya kazi kwenye destinations zifuatazo...Zanzibar, Kilimanjaro, Tabora, Kigoma, Mwanza, Songea, Mtwara, Hahaya (Comoros), Bujumbura na Entebbe. Wenye theories ni CHAGA-DEMA ruzuku tu mkiulizwa zinatumikaje theories kibaaaoHii ndo shida ya kukariri madesa vyuoni. Always about theories instead of practical solutions.
Naomba utuletee na takwimu za mapato na matumizi tukokotea faida/hasara
Sent using Jamii Forums mobile app