Mkuu mimi sio mfuata upepo,kumbuka kuna "Leaders and followers",wengi wa followers ni wale watu ambao hawana msimamo,mimi nina msimamo wa kile nichokiamini,Itakuwa Nimejitusi mwenyewe kwa uwezo wangu na dunia ninayoishi katika mwaka wa 2018 kwenda kuihemkia Ndege..aibu,aibu,aibu..
Nimesomeshwa kuwa hakuna "Right" and "wrong" kuna nini unamini na vipi utakifanyia kazi ili kiwezi kukuendeleza wewe au jamii,wewe nimekuona ni katika wale wanaofata upepo,wapiga makofi na vigelele hata kama hayo unaoyashangilia unajua kuwa ni maovu au hayana maana kwako au kwa jamii,
Elimu yangu inaweza kuwa sio kubwa ukilinganisha na yako,lakini inazewekana kuwa uelewa wangu ni mkubwa kuliko wako,Mkuu kwanza unatakiwa ujue mimi sio mshabiki wa chama choochote cha siasa,ninapotoa "comments" zangu natoa kwa ajili ya Tanzanina na watanzania kwa ujumla,...
Halafu sio lazima uzikubali "comments" zangu,sio lazima tukubaliane katika" Ideologies" au "methodologies" Kumbuka hakuna " right and wrong" kuna vipi una "impelemet" idea zako na mipango yako katika kile unachokifanya..
Matatizo ya jamii zetu za Kiafrika zimejawa na "niko sawa ", "hayuko sawa" katika mipango yao na maamuzi yao na ndio maana utakuta jamii zetu tabu kuendelea kwasababu sio rahisi kwetu kukubali idea,mawazo,na mipango mipya katika jamii..
Tafakari,....