Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Makao yake makuu yapo ufipa.
Bawaba za milango ya ufipa zimejaa kutu.
Ni kwa sababu elimu yako ni ya BashiteBawaba za milango ya ufipa zimejaa kutu.
Tumwambie Mashinji anunue bawaba mpya tubadilishe.
Tumpe hii picha Mashinji. Kutu zimezidi ufipa hadi madirishani.
Umeajiriwa kitengo gani mkuu? Kwenye hiyo Boeing 787. Nauliza ili unipe some detailsNdege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
HiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTumpe hii picha Mashinji. Kutu zimezidi ufipa hadi madirishani.
Aisee kutu zimezidi pale ufipa ingawa tunajifanya hatuoni.
HiiiiiiiiiiiiiiiiAisee kutu zimezidi pale ufipa ingawa tunajifanya hatuoni.
Labda tubadili hii picha manaake inaonekana makamanda hatuoni kutu ilivyojaa pale makao makuu ufipa.
HiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLabda tubadili hii picha manaake inaonekana makamanda hatuoni kutu ilivyojaa pale makao makuu ufipa.
Kutu za ufipa hizi.
Tutafute grisi sasa.