Weka hizo gharama za Nauli hapa..... AtcL vs. FN! Ili ipatikane fair ground ya kujadili hoja yako. Otherwise hii itakuwa ni Porojo maridhawa kwa wasomaji.Mengine sawa lakini LA nafuu ya nauli so kweli, maana baada ya ticket za promotion kuisha nauli iko juu kuliko FN. Ni majuzi ilinibidi kukata FN kwenda Mwz na kurudi maana ilikuwa nafuu kuliko ATCL