and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,461
- 40,257
- Thread starter
- #181
Dreamliner kwa maendeleo yetu
Kiwanja kipi Ddm au mwatua barabarani.Mtalala BAVICHA sisi hapa kazi tu. Leo hii tunatua Dodoma kwa mbwembwe
Huna habari ATC inatua Dodoma mara kadhaa kwa wiki?Kiwanja kipi Ddm au mwatua barabarani.
Sema daladala inayopaa angani maana haiwezi kupaa kutoka nje ya Tz. KIA, DSM Mwanza. Saivi itaanza kwenda Loliondo, kwa Mworombo, Mbauda na ChatoDreamliner kwa maendeleo yetu
Endelea kukata tu huko FN sisi tunapanda TC. Unaumia??Mengine sawa lakini LA nafuu ya nauli so kweli, maana baada ya ticket za promotion kuisha nauli iko juu kuliko FN. Ni majuzi ilinibidi kukata FN kwenda Mwz na kurudi maana ilikuwa nafuu kuliko ATCL
Ni kama ck figo zako zikija kufeli cjui na ww utaenda Muhimbili au !! Think before you talklikifeli kuluka na huko sijui mtatuambia mnatengeneza nini.
maana wi-fi imefungwa tayari.
halafu mm sio bavicha wala fisiem ila nachukia ujingaujinga mnaoufanya kwa sasa hasa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mabavichaa utayasikia kumsifia li-suu!Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Bavicha endeleeni na Kelele. Hapa kazi tu.
Nchi inaongozwa na washamba malimbukeni wapenda sifa na wadhalimuNchi gani?
✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌💪💪💪💪💪💪
Acha hizo kuwa mzalendo. Kuingia nchi za nje lazima ndege ifuate utaratibu na kupata vibari. kama unabisha nenda tu kihasarahasara Southafrica bila Passport ukifika huko utanipa taarifa.Sema daladala inayopaa angani maana haiwezi kupaa kutoka nje ya Tz. KIA, DSM Mwanza. Saivi itaanza kwenda Loliondo, kwa Mworombo, Mbauda na Chato
Hawasemi tena "wing of kilimanjaro" eti watakuwa wamewasifu kina Mbowe!Wings of Kilimanjaro