Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Hapana, nimepigilia Ujiti hoja yako mkuu!
Gani milioni 20!? Haya Chesty Ubarikiwe.
Hizo ni dalili za either upigaji au money laundering, ngoja atoke madarakani hutaamini macho yako.
 
Katika umri huu niliyoyaona na kuyasikia Hakuna kitu kinaweza kunishangaza chini ya Jua. Huwa natumia ile mbinu ya "Za kuambiwa Changanya na Zako" inanisaidia sana kupunguza kero,karaha,mihemko,jazba na Chuki katika maisha yangu. You should try...heck it's free anyways!
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).

Hizi sasa waswahili wanaita mbwata!!!! mmepata mnaanza kuleta nyodo
 
Dar - Kia - Mwanza - Dar. Je hizo safari ndizo unaita neema kwa wananchi?
 
Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.

kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
Dreamliner inaongelewa sana kwa sababu upande wa pili waliikandia sana na kilazimisha watu wainuke na kuitetea kwa nguvu sawa au zaidi ya wanaoikandia.
Wapinzani wamefanya dreamliner kuwa habari ya mjini bila kujua.
Wangekaa kimya leo hii isngekuwa issue. Kawni
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Unachoma mioyo ya watu kwa habari njema kama hizi
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Shangazi yangu kijiji akikutana na wewe atakutemea mate ya ugoro kwenye paji lako la uso
 
Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.

kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
Ruzuku mnapelekaga wapi? Ndo swali kila mtu anajiuliza
 
Currently PW is the most expensive, and is fully booked.

Kinachompandisha mtu ndege ni time table flexibility(pw cutter for most convenient times to fly). huduma n.k so ATC bado sana kibiashara
PW ya delays+cancellation zisizoisha na kutowasha AC ili kubana matumizi? Jaribu ATC ujionee tofauti
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Nahisi kuna kilevi unatumia...bangi haimwachi mtu salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.

kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.

Tutajie hiyo nchi nasi tuijue.
 
Hapo kwenye huduma fafanua vizuri..... Maana Kuna.....
 
Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.

kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
Wakenya wanazo tisa(9),Waithioia wanazo ishirini na tatu(23)......Watanzania tukiambiwa washamba tusikasirike...😀
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Ukiacha bragging, nami nafurahi sana! UNapokuwa umebanwa ilikuwa taabu kabisa kuelekea KIA au MZ. Hivyo vishirika viwili vilifikisha nauri hadi milioni moja kwenda KIA na kurudi, MZ kwenda na kurudi! Ilikuwa ni aibu ya kibiashara. Sasawanajidai kutuma email kwa wateja waowa nyuma wakati waliwadhalilisha wapendavyo! Shiiit!
 
Wakenya wanazo tisa(9),Waithioia wanazo ishirini na tatu(23)......Watanzania tukiambiwa washamba tusikasirike...😀
Kwa hiyo ujanja ilikuwa ni kuendelea kukaa tu au kuanza kununua? Ndege hii imepigwa vita eti tufanye mengine. Yaonekana wapingaji hamkujipanga inavyotakiwa. Wengine wanapinga kwamba pesa zingekwenda kwenye maji, n.k. wengine wanasema hasara inakuja, wengine sasa ni kusema hakuna haja ya kujivuna!

Unasifu wakenya kwa lipi? Hivi karibuni walinunua Dreamliner, unajua ni kwa kiasi gani cha pesa? tafuta habari hiyo halafu sema unajua ili uelewe wanakoelekea na hasa baada ya KLM kuachana nao.
 
Back
Top Bottom