and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,229
- 39,715
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).