Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

Hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mjinga halafu ukajiona mwerevu mbele ya wajinga wenzio.
Wapuuzi kama wewe huwa nawaambia ya kwamba HATA KAMA JIRANI YAKO ANA WATOTO KUMI au ZAIDI, HAIKUNYIMI WEWE na WANAOKUTAKIA MEMA NAFASI YA KUFURAHIA UJIO WA MTOTO WAKO WA KWANZA.
Kama una akili zinazokutosha kiasi utaelewa huo msemo una maana gani.
Ila kama unatumia Wi-Fi ya Ufipa endelea na kibarua chako kamanda.
Nashukuru sn mkuu umemjibu vizuri kama hat elewa hilii huyo hawez kuelewaa lolote lilee yn nimzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ujanja ilikuwa ni kuendelea kukaa na tu au kuanza kununua? Ndege hii imepigwa vita eti tufanye mengine. Yaonekana wapingaji hamkujipanga inavyotakiwa. Wengine wanapiga kwamba pesa zingekwenda kwenye maji, n.k. wengine wanasema hasara inakuja, wengine sasa ni kusema hakuna haja ya kujivuna!

Unasifu wakenya kwa lipi? Hivi karibuni walinunua Dreamliner, unajua ni kwa kiasi gani cha pesa? tafuta habari hiyo halafu sema unajua ili uelewe wanakoelekea na hasa baada ya KLM kuachana nao.
Bado tuko nyuma sana kimawazo,kifikira,tuko mwaka wa 2018 tunashangalia ndege,Mbona wenzetu wanazo kwa mafungu na hawapagawi na kushangilia kama sisi?..

Haijaalishi Wakenya wamenunua ndege yao kwa bei gani,kinacho angaliwa kuwa wanazo 9 na hatuwaoni kupagawa na kuzishangaa kama wanavyofanya watanzania...

Watanzania tuna safari refu sana ...
 
Bado tuko nyuma sana kimawazo,kifikira,tuko mwaka wa 2018 tunashangalia ndege,Mbo wenzetu wanazo kwa mafungu,haijaalishi Wakenya wamenunua ndege yao kwa bei gani,kinachoangaliwa kuwa wanazo 9 na hatuwaoni kupagawa na kuzishangaa kama wanavyofanya watanzania...

Watanzania tuna safari refu sana ...
Boss, Kwa nini unalaani kushangiliwa kwa ndege na kuitumia Kenya kama mfano. Kenya wamekuwa wakiuwana kila uchaguzi, umewahi kuwasikia wakijivunia hali ya TZ? Tuna umeme hadi vijijini kuliko hiyo kenya yako, Uliwahi sikia wakitafuta mfano wa TZ? Au we mkenya? Kila nchi ina pride yake na haihitajiki ilingane na wengine ndo ijisifu. Kuendelea kutumia Kenya kila jambo ni kutojifahamu. Reli ya Mombasa ilipokwisha mbona waliipokea kila kituo na kushangilia? Kwani walilingana na nani? HAwakuwa na makosa. Nimali yao!

Ninacho kuonyesha ni kiwango cha kujitambua kama Taifa, kinakuwa kidogo kwenu ninyi baadhi yetu.
 
likifeli kuluka na huko sijui mtatuambia mnatengeneza nini.
maana wi-fi imefungwa tayari.

halafu mm sio bavicha wala fisiem ila nachukia ujingaujinga mnaoufanya kwa sasa hasa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naombeni nielimishwe pia,Hivi hii Boeing 787-8 ya Tanzania ni special kuliko Boeing 787-8 au 787-9 zinazomilikiwa na nchi nyingine duniani? I know same Boeing hazina kitu inaitwa WIFI,na ni juzi tu tarehe 14.7.2018 nimesafiri nayo toka Nairobi kwenda Amsterdam,Tarehe 29.7.2018 nikasafiri na ndege kubwa zaidi ya Boeing 787-8 yaani boeing 777-400 ya KLM toka Amsterdam kuja Dar.Ndege ile ilikuwa na wifi ila ile WIFI haikuwa free,unanunua,na hata nilipotaka kununua mhudumu mmoja aliniambie nisinunue kwa kuwa ni expensive na inaisha haraka, Usipeacial wa hii yetu ni nini? au ni siasa nyepesi na mwendelezo wa uongo kwa wadanganyika? I know the only airline inayo ofa in-flight messaging ( Whats apps,facebook ) internet ukiwa hewani ni Delta Airline pekee,Hii yetu imekaaje? Je ni siasa tu?
 
Kweli masikini akiapata tako linalia bwata, sasa kandege kamoja tu kelele nyingi shameful. Jirani Kenya wana ndege 16 kama hizo, hata wakati zinakuja hakuna maandalizi kama ya Tz, hapo ndo mjue ushamba umewatawala kuliko maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tuko nyuma sana kimawazo,kifikira,tuko mwaka wa 2018 tunashangalia ndege,Mbo wenzetu wanazo kwa mafungu,haijaalishi Wakenya wamenunua ndege yao kwa bei gani,kinachoangaliwa kuwa wanazo 9 na hatuwaoni kupagawa na kuzishangaa kama wanavyofanya watanzania...

Watanzania tuna safari refu sana ...
Mkuu angalia wanaoshangilia ni akina nani? wengi wao exposure hawana,yaani wao wapo wapo tu. but also waulize kama ndege ni maendeleo je Ethiopia au Kenya wameendelea kuzidi Tanzania?majibu yao pia yatakushangaza,so acha washangilie hata nwaka mzima ndo watanzania wetu hao
 
Ukiacha bragging, nami nafurahi sana! UNapokuwa umebanwa ilikuwa taabu kabisa kuelekea KIA au MZ. Hivyo vishirika viwili vilifikisha nauri hadi milioni moja kwenda KIA na kurudi, MZ kwenda na kurudi! Ilikuwa ni aibu ya kibiashara. Sasawanajidai kutuma email kwa wateja waowa nyuma wakati waliwadhalilisha wapendavyo! Shiiit!
Nathani shida ilikuwa planning yako na wala si FN or PW-hata ATC usipo improve planning ya safari zako ipo siku utakuja hapa kulia lia hapa
 
Which planning Boss! airline gani dunia hii inayotoa milioni moja ya TZ kwa flight time ya saa 1 au dk 45? Kweli imefikia hatua ya kukubali upuuzi wa monopoly kama huo? Sasa hivi mbona wanajikanyaga tu bila kujali hiyo planning yangu?

I am stunned by such this level of stupidity in JF!!
 
Dar -Nairobi is one hour kwa KQ,ingia kwenye website ya KQ ujifanye unakata tiketi ya kesho kwenda Nairobi then urudi hapa na majibu. Delta Airline inandege zaidi ya 200,tarehe 21/7/2018 nilikata ticketi kwenda JFK New York kutoka St.Paul Minneapolis ngoma ilisoma USD 450.00 Hiyo ni bei gani?
 
Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.

1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Kuna mambo mengine katika maisha hata ukiyatimiza kujigamba hadharani ni kujichoresha tu. Katika umri wa nchi yetu ni aibu kujigamba na kijindege kimoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar -Nairobi is one hour kwa KQ,ingia kwenye website ya KQ ujifanye unakata tiketi ya kesho kwenda Nairobi then urudi hapa na majibu. Delta Airline inandege zaidi ya 200,tarehe 21/7/2018 nilikata ticketi kwenda JFK New York kutoka St.Paul Minneapolis ngoma ilisoma USD 450.00 Hiyo ni bei gani?
bhla-bhal! OK nakuona uko US. That is all you want me to see. I was there at my childhood, that early tender age. But, so what?
Unaliganisha KQ iliyo ktk hali ya kuanguka! Naomba ku-qualify swali langu maana nilidhani una tamaa ya kuona njia kumbe mashindano! Compare any best operating airline, internal flights. Ndani ya hilo kuna somo zima la gharama za airlines ambalo hutanielewa kwa ufahamu huu ninaouona kwako.

Tafuta gharama za single till vs dual till, tafuta landing charges zinatofautianaje, kuna sehemu utalipa rebates, emission charges, etc. unanielewa au hoi? Je, unajua TZ nini wanalipa hadi kuhalalisha malipo hayo? Baada ya hayo jiulize kama hao wazembe wetu walikuwa na sababu ya kupandisha bei kama hizo.
 
Hahahah KQ inakufa? Mkuu mie sipo US nipo Iringa
 
Boss, Kwa nini unalaani kushangiliwa kwa ndege na kuitumia Kenya kama mfano. Kenya wamekuwa wakiuwana kila uchaguzi, umewahi kuwasikia wakijivunia hali ya TZ? Tuna umeme hadi vijijini kuliko hiyo kenya yako, Uliwahi sikia wakitafuta mfano wa TZ? Au we mkenya? Kila nchi ina pride yake na haihitajiki ilingane na wengine ndo ijisifu. Kuendelea kutumia Kenya kila jambo ni kutojifahamu. Reli ya Mombasa ilipokwisha mbona waliipokea kila kituo na kushangilia? Kwani walilingana na nani? HAwakuwa na makosa. Nimali yao!

Ninacho kuonyesha ni kiwango cha kujitambua kama Taifa, kinakuwa kidogo kwenu ninyi baadhi yetu.

Mkuu,mimi ni mtanzania na nalipenda sana taifa langu,lakini sitokubali kuwa mjinga na kupoteza sifa zangu kwasababu za kijinga zinazoitwa uzalendo,Uzalendo haina maana usifu kila kitu kinachofanywa na serikali hata japo kiuwa kitu hicho ni cha kipuuzi,Mkuu mimi najielewa sana..

Hajo hapa sio nchi gani ina umeme zaidi ya mwenzake,hoja ni kuwa watanzania bado tuko nyuma kimawazo na fikra,haiwezekani katika miaka hii tunayoishi watu wameshaenda mwezini na kurudi hivi sasa wanafanya safari ya kwenda kuishi Mars,sisi bado tunashangilia na kupagawa katika mitandao kwa sababu ya ndege, wakati wenzetu ndge kamahizo wanazo kama mafungu ya nyanya,pale ingelikuwa Tanzania inaongoza kwa wingi wa hizo ndege nigelielewa..,

Sasa hebu nambia watanzania wanashangilia nini!?wanashangilia ukubwa wa ndege,uzuri wa ndege,hawajawahi kuiona ndege kama hiyo au nini!?..

Siwezi hata siku moja kama mtanzania ninaejielewa kuwa na PRIDE ya kushangilia ndege ambayo wenzetu wanazo kwa mafungu,"It will insult my intelligence" nigeshangilia pale ingelikuwa Tanzannia ndio nchi ya mwanzo katika Afrika kuwa na ndege kama hiyo,auTanzania ni nchi ya mwanzo katika Afrika kuwa na ndege nyingi kama hizo...

Mkuu,huwezi kufananisha Kenya na Tanzania kwa miaka hii,Kenya ni nchi ya viwanda Tanzania ndio kwanza inapiga kelele katika sera za viwanda,Tanzania ilikuwa inaipita Kenya katika siasa,hivi sasa Kenya hatuwapati kwenye siasa,sisi huku tunauwa au kuwafunga wapinzani wa kisiasa wao wanapatana na kukaa meza moja kujenga nchi yao,,

Tumerudi nyuma kama moja katika nchi bora katika Afrika chini ya jangwa sahara mpaka kuwa nchi ambayo dunia nzima inaiongelea vipi inawatesa raia wake,na vipi raia wake mpakakarne hii wanashangilia na kuishangaa ndege,kuanzia raia mpaka raisi
 
Mkuu mimi ni mtazanzia lakini saa nyengine naona aibu kui

Mkuu,mimi ni mtanzania na nalipenda sana taifa langu,lakini sitokubali kuwa mjinga na kupoteza sifa zangu kwasababu za kijinga zinazoitwa uzalendo,Uzalendo haina maana usifu kila kitu kinachofanywa na serikali hata japo kiuwa kitu hicho ni cha kipuuzi,Mkuu mimi najielewa sana..

Hajo hapa sio nchi gani ina umeme zaidi ya mwenzake,hoja ni kuwa watanzania bado tuko nyuma kimawazo na fikra,haiwezekani katika miaka hii tunayoishi watu wameshaenda mwezini na kurudi hivi sasa wanafanya safari ya kwenda kuishi Mars,sisi bado tunashangilia na kupagawa katika mitandao kwa sababu ya ndege, wakati wenzetu ndge kamahizo wanazo kama mafungu ya nyanya,pale ingelikuwa Tanzania inaongoza kwa wingi wa hizo ndege nigelielewa..,

Sasa hebu nambia watanzania wanashangilia nini!?wanashangilia ukubwa wa ndege,uzuri wa ndege,hawajawahi kuiona ndege kama hiyo au nini!?..

Siwezi hata siku moja kama mtanzania ninaejielewa kuwa na PRIDE ya kushangilia ndege ambayo wenzetu wanazo kwa mafungu,"It will insult my intelligence" nigeshangilia pale ingelikuwa Tanzannia ndio nchi ya mwanzo kTIK Afrika kuwa na ndege kama hiyo,auTanzania ni nchi ya mwanzo katika Afrika kuwa na ndege nyingi kama hizo...

Mkuu,huwezi kufananisha Kenya na Tanzania kwa miaka hii,Kenya ni nchi ya viwanda Tanzania ndio kwanza inapiga kelele katika sera za viwanda,Tanzania ilikuwa inaipita Kenya katika siasa,hivi sasa Kenya hatuwapati kwenye siasa,sisi huku tunauwa au kuwafunga wapinzani wa kisiasa wao wanapatana na kukaa meza moja kujenga nchi yao,,

Tumerudi nyuma kama moja katika nchi bora katika Afrika chini ya jangwa sahara mpaka kuwa nchi ambayo dunia nzima inaiongelea vipi inawatesa raia wake,na vipi raia wake mpakakarne hii wanashangilia na kuishangaa ndege,kuanzia raia mpaka raisi
wanadanganyana kwamba ni ndege kubwa na ya kisasa kabisa kuliko zote duniani.Na kwa sababu reference yao ni mwenyekiti basi hawajui kuwa duniani kuna Boeing 777 or 767 or 747 or Airbus 380 or 350 na zinaruka kila uchao
 
😀😀
 
Hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mjinga halafu ukajiona mwerevu mbele ya wajinga wenzio.
Wapuuzi kama wewe huwa nawaambia ya kwamba HATA KAMA JIRANI YAKO ANA WATOTO KUMI au ZAIDI, HAIKUNYIMI WEWE na WANAOKUTAKIA MEMA NAFASI YA KUFURAHIA UJIO WA MTOTO WAKO WA KWANZA.
Kama una akili zinazokutosha kiasi utaelewa huo msemo una maana gani.
Ila kama unatumia Wi-Fi ya Ufipa endelea na kibarua chako kamanda.
Na wewe kila siku unasahau kama huyo sio mtoto wa kwanza ulishazaaga ukawaua!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abiria wanaosafiri kwa ndege ya ATC Dreamliner, toka Mwanza kwenda Dar es Salaam wamekwama kuondoka kutokana na hitilafu za kiufundi kwenye ndege mpya Dreamliner. Ndege hiyo ilitegemewa kuondoka saa 2.50 usiku na abiria walikuwa wameisha panda mabasi na kuelekea kwenye ndege lakini wamerudishwa Departure Lounge. Mpaka saa tano usiku, abiria bado wapo wakisubiri matengenezo yakamilike na Inshaallah, safari ianze
 
Back
Top Bottom