Shule za kata ni shida
Mkuu!!!! Minaona tuweke pendekezo hapa lianzishwe jukwaa la pongezi na (kuhama vyama vya siasa angalau kwa sasa) aisee, ili ltuondoleee uchafu mwingi kwenye jukwaa pendwa la siasa!! Au mkuu we unaonaje?
Shule za kata ni shida
shauli yao sisi na utamaduni wetu kwani hata wao kunavitu wanajivunia lakini kwetu ni vya kijinga so wacha kuangalia mwingine atakuonaje kwa kufurahia mafanikio yako na usione aibu kwa chakoNaamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.
kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
Hiyo dreamliner unajua ina hali gani sasa?Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Subiri kushangilia Chattle International Airport2005 kdg Friimani aukwae ukuu. Tungekoma aisee. Hizi ndege zingepelekwa MACHAME Aishi
Sasa wewe umeona wifi ndio muhimu sana? Kiasi kwamba usipopata basi safari yako haitakamilika. Mibongo imekua milimbukeni kishenzi.likifeli kuluka na huko sijui mtatuambia mnatengeneza nini.
maana wi-fi imefungwa tayari.
halafu mm sio bavicha wala fisiem ila nachukia ujingaujinga mnaoufanya kwa sasa hasa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hii ndiyo ndege ya kwanza tangu atc ianzishwe? Mi nakumbuka shirika lilipoanzishwa mwaka 1977 lilikuwa na ndege nyingi tu zikiwemo Boeing kadhaa za mfumo wa jet kama hii hapa chini! Ila hao wakina magufuli ndiyo wanaojua zilipotokomea,unaibiwa milioni halafu mwizi aliyekuibia anakurudishia elfu moja na kukuambia ushangilie na ulivyo zuzu unapiga vigelegele!Hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mjinga halafu ukajiona mwerevu mbele ya wajinga wenzio.
Wapuuzi kama wewe huwa nawaambia ya kwamba HATA KAMA JIRANI YAKO ANA WATOTO KUMI au ZAIDI, HAIKUNYIMI WEWE na WANAOKUTAKIA MEMA NAFASI YA KUFURAHIA UJIO WA MTOTO WAKO WA KWANZA.
Kama una akili zinazokutosha kiasi utaelewa huo msemo una maana gani.
Ila kama unatumia Wi-Fi ya Ufipa endelea na kibarua chako kamanda.
Hii ni chapter ndefu kuliko zote.
Naamini usingekuwa nyumbu wa ufipa wala usingekuwa tofauti na aliyoyasema mtoa mada zaidi ya kuomba kufeli tu kila jema na watu wa kushauri panapo shida.likifeli kuluka na huko sijui mtatuambia mnatengeneza nini.
maana wi-fi imefungwa tayari.
halafu mm sio bavicha wala fisiem ila nachukia ujingaujinga mnaoufanya kwa sasa hasa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishaonywa juu ya ufukuaji wa makaburiKwa hiyo hii ndiyo ndege ya kwanza tangu atc ianzishwe? Mi nakumbuka shirika lilipoanzishwa mwaka 1977 lilikuwa na ndege nyingi tu zikiwemo Boeing kadhaa za mfumo wa jet kama hii hapa chini! Ila hao wakina magufuli ndiyo wanaojua zilipotokomea,unaibiwa milioni halafu mwizi aliyekuibia anakurudishia elfu moja na kukuambia ushangilie na ulivyo zuzu unapiga vigelegele!View attachment 842119
Mkuu naona unaota mchana kweupe,Ndege mmoja ni sawa na kidole kimmoja hakivunji chawa.Ndege ya ATC Boeing 787 Dreamliner imeleta Neema za kiuchumi kwa wananchi kwani sasa ni rahisi na nafuu kusafiri nchini tofaut na mwanzo tulipokuwa na mashirika ya kinyonyaji (kibepari). Asante Mwenyekiti.
1. Unafuu wa Nauli. Kulinganisha na PW/FN. Pesa nyingine mtu unafanyia shughuli mbadala.
2. Huduma safi.
3. Biashara nyemelezi (restaurants na taxi) zimeimarika zaidi.
4. Tumezalisha ajira zaidi kwa Watanzania wenzetu (Pilots, Engineers, air hostesses, agents).
Ni ushamba na ulimbukeni kununua ndege kubwa kama ile kwa cash wakati ambapo shule bora ****, wala better medical facilitiesHakuna kitu kibaya maishani kama kuwa mjinga halafu ukajiona mwerevu mbele ya wajinga wenzio.
Wapuuzi kama wewe huwa nawaambia ya kwamba HATA KAMA JIRANI YAKO ANA WATOTO KUMI au ZAIDI, HAIKUNYIMI WEWE na WANAOKUTAKIA MEMA NAFASI YA KUFURAHIA UJIO WA MTOTO WAKO WA KWANZA.
Kama una akili zinazokutosha kiasi utaelewa huo msemo una maana gani.
Ila kama unatumia Wi-Fi ya Ufipa endelea na kibarua chako kamanda.
Vilevile ni Ushamba na Ulimbukeni kununua TV kubwa, jiko la Gesi na Friji wakati unakaa kwenye chumba kimoja cha kupanga! Achilia mbali wazazi wako wanaoishi maisha duni huko kijijini kwenu kwenye nyumba ya tembe.Ni ushamba na ulimbukeni kununua ndege kubwa kama ile kwa cash wakati ambapo shule bora ****, wala better medical facilities
Kwa hiyo umepigilia msumari hoja yangu. Ukiona mtu anafanya manunuzi ya umma kwa cash fahamu kuwa kuna harufu ya upigaji hapo, no doubt about that. Wenzetu kununua gani tu ya milioni 20 kwa cash ni issue ya kufanyiwa investigation.Vilevile ni Ushamba na Ulimbukeni kununua TV kubwa, jiko la Gesi na Friji wakati unakaa kwenye chumba kimoja cha kupanga! Achilia mbali wazazi wako wanaoishi maisha duni huko kijijini kwenu kwenye nyumba ya tembe.
Huo ni mfano wa maneno halisi ambayo nimejaribu kukupa kutokana na hoja yako hapo juu. Kama una akili timamu utaelimika na kuelewa. Ila kama unatumia Wi-Fi ya Ufipa utatokwa Povu kunako matundu yote ya mwili.
Siku njema..
True!Shule za kata ni shida
Hapana, nimepigilia Ujiti hoja yako mkuu!Kwa hiyo umepigilia msumari hoja yangu. Ukiona mtu anafanya manunuzi ya umma kwa cash fahamu kuwa kuna harufu ya upigaji hapo, no doubt about that. Wenzetu kununua gani tu ya milioni 20 kwa cash ni issue ya kufanyiwa investigation.
Kwanza tuliipokea kwa vigelegele na nderemo pale uwanjani. Ilibakia kidogo tu tutangaze siku ya mapumziko kitaifa. Wacha tushangilie tu, hii ndio matokeo ya kutoendelea wakati wenzetu wanasonga mbele.Naamini kuna nchi wanatushangaa sana ni hii dreamliner yetu, yani tunavyoiongelea ni kama magufuli amefanya miujiza fulani hivi hapa duniani ambayo haijawahi kufanywa na mtu yoyote yule, nahisi kuna watu wameajiliwa ili waiongelee kila siku.
kuna nchi wanamiliki hayo madude zaidi ya 10 tena walichelewa kupata uhuru kuliko sisi ila wametulia tu, ila sisi haka kamoja tu mh jiwe anahisi kama vile ameibeba dunia kichwani kwake, HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU MNO.
The word is "cater" not cutter.Currently PW is the most expensive, and is fully booked.
Kinachompandisha mtu ndege ni time table flexibility(pw cutter for most convenient times to fly). huduma n.k so ATC bado sana kibiashara