mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Mwongo sana huyuUlishawahi kupigwa ban kwa kuleta taarifa za uongo kama hizi, leo unarudia tena!
Mwongo sana huyuUlishawahi kupigwa ban kwa kuleta taarifa za uongo kama hizi, leo unarudia tena!
aaaaaaah hiyo ndogo sana tunatafuta ile itakayo mliza.apewe life ban
Josephine anaweza kuhama.... siyo Dr. Slaa
wapigania haki ya kweli tutashinda sio hayo maigizo yenu-hongera sana sana Dr-nilishaamua kwenda kuishi kwa Nkurunzinza kwasababu kule ndipo Demokrasia inabakwa wazi wazi-haingii kabisa akilin tumegharamia maisha na kila kitu kwa miaka 20 lakin kwa tamaa ya pesa uwekezaj huo uonekane si chochote si lolote
Kwanini ayafanye hayo usiku? Ofisi gani inafanya kazi usiku? kwani imekuwa kituo cha polisi?Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Nyie ni wale mkikaa mnaangalia 'movie' unakua unatafsiri matukio, ....."ona Rambo atamchapa kofi, subiri utaona.....!" Kwa nini msiache vitetesi, mtuache tuipate hiyo 'sapraizi' live????!!!!Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Mwongo sana huyu mwanaharamu
Dk. Slaa nakusubili kauli yako.... popote utakapo enda takufata, tusikubali kula matapishi yetu.... acha ayale Mbowe na Mkwe wake.
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni.
Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!