Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: mimi mwenyewe.
Nyie ni wale mkikaa mnaangalia 'movie' unakua unatafsiri matukio, ....."ona Rambo atamchapa kofi, subiri utaona.....!" Kwa nini msiache vitetesi, mtuache tuipate hiyo 'sapraizi' live????!!!!
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: mimi mwenyewe.

manyerere nakuamini kwa maelezo yako ila kama kweli nitaamini slaa ni mwanasiasa wa kweli kuliko woooote waliopo chadema
 
Usiogope jackton...ni kawaida yao some of the so called great thinkers kukandia tu. Hawana content kazi ni kupovuka tu.
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: mimi mwenyewe.
Ulishawahi kupigwa ban kwa kuleta taarifa za uongo kama hizi, leo unarudia tena!
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: mimi mwenyewe.
.

Iwapo slaa ataendelea kubaki chadema manake amewasaliti watanzania walionyuma yake kama alivyosalitiwa yesu.Tulimchagua kwa kuwa ana maadili,upendo kwa watanzania na pia alikuwa anakemea ufisadi.Leo itakuwaje yule aliyekuwa anamkemea kumkaribisha sahani moja?.Slaa akumbuke ni muumini wa kikristo mwenye nafasi kubwa kanisani.
 
Anawezaje kukabidhi Kadi wakati ya CCM hakuikabidhi. Siyo style ya Dr.Slaa
 
Hizi habari mbaya kwa mapopoma wotee wa CHADEMA
Namshauri Padre Slaa akatubu makosa yake yote ya kuliasi kanisa Katoliki
 
Kwa nini usisubiri habari hii uilete 1st April asubuhi?
 
manyerere nakuamini kwa maelezo yako ila kama kweli nitaamini slaa ni mwanasiasa wa kweli kuliko woooote waliopo chadema

Mi nitaamini ni mwanasiasa wa kweli kama ataunda chama chake! Siyo aingie ACT au CCM.
 
manyerere wapo akina Thomaso humu .....usemacho kuna watu wanamacho ya kisiasa wanakuelewa... Mchambuz wakisiasa Mr. Deus ameongea Azam Tv hali sio shwari ndani ya CDM na kuna mtikisiko mkubwa unakuja... ha ha haaaa...
 
Kwenye imani Yangu nmeamriwa kumwamin Yesu Kristo pekee ...lakin Huku jf Kuna watu wakiongeaa navutiwa kuwaamin ... Ee Yesu mm Nazid kukuamim ww tu maana hamna namna
 
HABARI ZA HIVI PUNDE: "HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya CHADEMA, NCCR, NLD, CUF wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa UKAWA.

Myaonayo na myasikiayo kwenye mitandao ya kijamii ni kauli za wafa maji. Tulichokifanya UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja. Narudia tena; tulichokifanya kama UKAWA ni kuunganisha dhamira zetu pamoja.

Zaidi sana napenda kusisitiza jambo hili kwa umma kwamba NDANI YA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA HAKUNA MWENYE DHAMANA WALA MAMLAKA YA JUU ZAIDI YA MWINGINE HATA KWA KWA YULE MSHABIKI"

By. Dr. Wilbroad Slaa (katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo-CHADEMA)
ACHENI KUSEMA UONGO!!!!!!!!

Chanzo: Radio One
 
HAYA NA YEYE SIJUI ATAKUWA MSALITI AU? Maana BAVICHA HAMKAWII KUMGEUKIA?
 
Back
Top Bottom