brown emilyo
New Member
- Jul 30, 2015
- 2
- 0
Taarifa tunasubiri manyerere
Invisibleikiwa ni kweli mods nipigine ban ya milele... au mpigeni ban huyu Manyerere Jackton ban ya hadi 30 oct 2015... bila hivyo tunapoteza hadhi ya JF
kwa jinsi ninavyomfahamu Dr Slaa kamwe hawezi kuchukua hatua za kuondoka Chadema eti kwa sababu hatagombea Urais
acheni kumpakazia hasa wewe Manyerere Jackton wewe ni mtu usiye eleweka misimamo yako,kaa mbali na process zote zinazoendelea kwenye nchi yetu hufai hata kidogo kuwa mtoa taarifa za muhimu
Dr Slaa siyo mtu mjinga kiasi hicho ni mtu smart nimekuwa naye karibu kwa muda mrefu na namwamini sana
Umesema hisia zako tu ambazo sio facts!kwa jinsi ninavyomfahamu Dr Slaa kamwe hawezi kuchukua hatua za kuondoka Chadema eti kwa sababu hatagombea Urais
acheni kumpakazia hasa wewe Manyerere Jackton wewe ni mtu usiye eleweka misimamo yako,kaa mbali na process zote zinazoendelea kwenye nchi yetu hufai hata kidogo kuwa mtoa taarifa za muhimu
Dr Slaa siyo mtu mjinga kiasi hicho ni mtu smart nimekuwa naye karibu kwa muda mrefu na namwamini sana
Manyerere kwanini unapunguza heshima yako kiasi hiki.Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.