Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Mimi naendelea kushangaa ni kwa namna gani Slaa awe sehemu ya kumpokea Lowassa.

Yaani chadema inataka tuamini lowasa ni msafi kwa kuwa kaja chadema halafu waliobakia kwenye ile List ni wachafu kwa kuwa hawajaingia chadema.

Ni heri kumbakiza shibuda mara mia kuliko kumkaribisha lowassa.

Tunasubiri!!
 
Na kinondoni anagombea nani!!🏃🏃🏃🏃
 
hv kitengo cha propaganda cha ccm kilishapata mtu? maana last time i check kilikuwa wazi toka mzee makamba kuondoka
 
Ccm utawajua tu kwa maneno ya uchochezi,anaondoka anaondoka aende wapi,act?ccm?makosa gani yalimuondoa zito kwa hiyo huko anaenda kunywa matapishi au kulamba,ccm ndo mfumo fisadi aende wapi?acheni uchochezi Slaa ni chadema na hawezi kuondoka na maneno ya uchochezi
 
Mod, najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.

nakuamin sana Manyerere
Heshima kubwa sana kwa Dr. anatujenga vema sana sis tunaotaka na kuamin mabadiliko ya kweli sio hao wapiga pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom