Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Duuuuuh mbona itakuwaaaa hata sijuia nini niseme!!!!Kama ila Kama itakuwa kweli CDM wasiichukulie pouwa italeta Matokeo hasi kwao.
 
Watu wa jf wanafurahisha sana. Huyu mtoa post walikuwa wanamhusisha na Lowassa leo wanamkana sintoshangaa kesho Slaa akianza kukashifiwa
 
Mleta mada kabla ya Thread hii nilikuwa nakuheshimu sana bt nw.....
 
Kila kitu kina price yake, tutafurahi kumpata Lowassa at a price ya kumpoteza Slaa, kama askari ni kuwa tayari kwa lolote ni kujua nini mwisho wa siku unataka. Makamanda wa kweli haina haja kudespair hata kama ni kweli, vita ni kali twist and turns lazima zitakuwepo ni kujitayarisha kwa lolote.

Kuutoa mfumo uliojijenga kwa muda wa zaidi ya miaka 50 si mchezo. THE HARDER THE BATTLE THE SWEETER THE VICTORY!!!!!
 
Mnadanganyana sana

wapigania haki ya kweli tutashinda sio hayo maigizo yenu-hongera sana sana Dr-nilishaamua kwenda kuishi kwa Nkurunzinza kwasababu kule ndipo Demokrasia inabakwa wazi wazi-haingii kabisa akilin tumegharamia maisha na kila kitu kwa miaka 20 lakin kwa tamaa ya pesa uwekezaj huo uonekane si chochote si lolote
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: mimi mwenyewe.

Sasa usiku huu anakwenda kumkabidhi nani hivyo vitu? Kwanini asiende mchana? Au anakwenda kuvitelekeza hivyo vitu maana ofisi zitakuwa zimefungwa.Hebu jipange basi mleta maada!
 
Josephine anaweza kuhama.... siyo Dr. Slaa
 
Ccm utawajua tu kwa maneno ya uchochezi,anaondoka anaondoka aende wapi,act?ccm?makosa gani yalimuondoa zito kwa hiyo huko anaenda kunywa matapishi au kulamba,ccm ndo mfumo fisadi aende wapi?acheni uchochezi Slaa ni chadema na hawezi kuondoka na maneno ya uchochezi

Kwani lazima aende mahali? Labda ameamua kustaafu baada ya kukatishwa tamaa na walafi, wanafiki na Waongo wakubwa akina Mbowe, Mtei, Lowasa, Lisu ...

Mleta mada kabla ya Thread hii nilikuwa nakuheshimu sana bt nw.....

hiyo ndo ujue wenye akili wote hawakubalian na ujinga wa Mbowe-kwann tufurahie kupokea Mafisad? Maadili ya kidini ya Dr Slaa na kabila la Wairaq hayawaruhusu unafiki na uzandiki
 
Sasa usiku huu anakwenda kumkabidhi nani hivyo vitu? Kwanini asiende mchana? Au anakwenda kuvitelekeza hivyo vitu maana ofisi zitakuwa zimefungwa.Hebu jipange basi mleta maada!
nimecheka sana mkuu kwa hii post yako
 
Back
Top Bottom