Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,578
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
Mkuu,unataka kusema atakayeweza kusimama kwenye mdahalo na Dr. Slaa ndio atakuwa kiongozi bora na atakayewaletea watanzania matumaini ya kupata maendeleo wanayoyataka.
Uwezo wa kujieleza katika midahalo ni kipaji na sanaa kama vipaji na sanaa nyingine lakini kamwe haiwezi kuwa kigezo au sifa ya kiongozi bora,mwenye nia ya dhati ya kufanya mabadiliko.
Zaidi ya uzushi na data za kupikwa, Slaa ana hoja gani? Atadebate nini zaidi ya kulalamika?Jibu swali...nani CCM anaweza kusimama na Slaa tena live kwenye tv....mtaje...
Zaidi ya uzushi na data za kupikwa, Slaa ana hoja gani? Atadebate nini zaidi ya kulalamika?
Uwezo wa Slaa kujenga hoja ni mdogo sana, Hapo CHADEMA aliyekuwa tishio kwa ujengaji wa hoja ni Zitto tu!
Tumia Ubongo kufikiria na si Makalio Zzt yule anahoja za usakatonge tuu
hii ndo nini sasa,wengine ambao hawakufika ni kwa sababu walikuwa na umri mdogo,yaani huu ni ujiko wa kijingaYes anaweza. Kakwambia kapigana vita ya kagera mstari wa mbele. Na kafika kagera wengi wameshindwa???
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
Zaidi ya uzushi na data za kupikwa, Slaa ana hoja gani? Atadebate nini zaidi ya kulalamika?
Uwezo wa Slaa kujenga hoja ni mdogo sana, Hapo CHADEMA aliyekuwa tishio kwa ujengaji wa hoja ni Zitto tu!
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
He sought the nomination of Chama Cha Mapinduzi (CCM) as its presidential candidate in 1995 but was eliminated in the early stages single-handedly by the charismatic former President Julius Nyerere, who strongly believed that Lowassa was not then correct material for the Presidency!Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872