Mkuu,unataka kusema atakayeweza kusimama kwenye mdahalo na Dr. Slaa ndio atakuwa kiongozi bora na atakayewaletea watanzania matumaini ya kupata maendeleo wanayoyataka.
Uwezo wa kujieleza katika midahalo ni kipaji na sanaa kama vipaji na sanaa nyingine lakini kamwe haiwezi kuwa kigezo au sifa ya kiongozi bora,mwenye nia ya dhati ya kufanya mabadiliko.