Sasa mbona kama mnaleta masiara jamani, Huyo jamaa wa monduli si aliambiwa azunguke uwanja wa mpira Round moja ndio akachukue form ya uraisi?
Sasa kama jambo dogo tu alishindwa ndo hili la kupambana na Slaa ataliweza?
Alafu kwanini mnataka mpambano kati ya mgonjwa na Dr. ?