Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Kuna kamchezo kachafu kanataka kuchezwa hapo.
 
Kuna mlengo flan unaotaka kuhalalisha jambo flan kwenye hiyo tuzo...kuna wengine wamewekwa hapo kuwania hiyo tuzo kubalance tu hiyo hali ila nyuma ya hicho kinyang' anyiro kuna mkono flan mchafu
 
Ivi jamani lowassa naye yupo kwenye mashindano kwa ajili gani? Lengo nini? afadhali slaa hana kashfa hata kidogo
 
Hapo ni kutaka kupima upepo, Hiyo taasisi inaaminika na wote?

CHADEMA wawafahamishe umma kama ruksa kuttuma ujumbe.
 

Kama upinzani unakataa demokrasia basi usahau kushika hii nchi.
 
Ivi jamani lowassa naye yupo kwenye mashindano kwa ajili gani? Lengo nini? afadhali slaa hana kashfa hata kidogo

Licha ya hilo, Lowasa kwa fedha aliyo nayo anaenda kutafuta nini zaidi? Wengine naweza kuwaelewa kwamba wanataka kututumikia ili nao walau wapate mkate wa uhakika kwa kipindi hicho na baadaye. Sasa EL anatafuta nini zaidi ya ukwasi alio nao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…