Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
kura yangu haiwezi kwenda tena kwa Slaa,nasubiri mgombea atakayekuja kwa sera nzuri ndio atapata kura yangu...wala siwezi kutoa kura kwa mazoea kama upuuzi huu unavyotaka tufanye.Haya mambo ya uraisi muda wake bado,kwanini msituletee mambo ya msingi kuliko kila siku haya mambo yasiyo kichwa wala miguu
 

Wewe nd'o huna kichwa wala miguu,tokea lini nakapanya kakapiga kura,kaa kwenye ukoo wa wakubwa zako mapanya ccm.
 
Wewe nd'o huna kichwa wala miguu,tokea lini nakapanya kakapiga kura,kaa kwenye ukoo wa wakubwa zako mapanya ccm.

uzuri wake ni kwamba mimi sio bendera fuata upepo kama wewe ndugu yangu,labda nikuulize,hivi hayo sijui kura inakusadia nini wewe binafsi na Taifa lako?
 

tuwe wawazi Dr slaa is the only 2015 hope Dr slaa anaweza Dr slaa ni raisi Wa awamu. Ya tano go go go Dr slaa
 
Dr slaa Is our Hope for the next 5*5 from 2015
Dr slaa ni rais wetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…