Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Weeweee Dr slaa haingii kwa lowasa. Nani atampa urasi nyumba yake imemshinda ataongozaje nchi? Kwanza magumu. Mkanda mdini visa do hela ya chama anakula na mbowe wachagga hawa nani atawapa nchi
 
Wana jamvi matokeo tajwa hapo juu ni kura mlizo piga kuamua nani anafaa kuwa rais wa tanzania 2015,matokeo yamempa ushindi katibu mkuu wa chadema kuwa anafaa kuwa rais wetu ajae hii ni kutokana na kura zenu wana jf,hongereni kwa chaguo sahihi
 
Dr.Wilbrod Peter Slaa ni mtu makini sana. Iko siku atatuongoza kama nchi.Tumuombee na kumsaidia
 
Mi ngoja nipite....ila anayekubalika mnamjua endeleeni kuuma na kupuliza
 
Weeweee Dr slaa haingii kwa lowasa. Nani atampa urasi nyumba yake imemshinda ataongozaje nchi? Kwanza magumu. Mkanda mdini visa do hela ya chama anakula na mbowe wachagga hawa nani atawapa nchi

povu la nini? Tunaomba ile thread irudi tuone nani zaidi!
 
Dr.Wilbrod Peter Slaa ni mtu makini sana. Iko siku atatuongoza kama nchi.Tumuombee na kumsaidia

mleta mada naona mpo kundi moja na joka la mdmu a.k.a membe lunalosubri kuoteshwa....kura za kna yercko na bensaanane a.k.a secretary wa membe ila 2015 rais ni lowasa take t frm me
 
weeweee dr slaa haingii kwa lowasa. Nani atampa urasi nyumba yake imemshinda ataongozaje nchi? Kwanza magumu. Mkanda mdini visa do hela ya chama anakula na mbowe wachagga hawa nani atawapa nchi

onyo kijana angalia usimtuhumu mtarajiwa wetu raisi kipenzi dk.slaa ambaye ni mpango wa mungu aliye hai.
 
Attachments

  • dk+slaa.jpg
    dk+slaa.jpg
    17.7 KB · Views: 161
Dr.Slaa anahuzunika sana mnavyomsanifu namna hii ilihali anajua kuwa hakubaliki tena Tanzania.
 
Bila hata kupiga kura mie nasema yeyotr kati yao hao akiwa Rais ni pigo kubwa sana kwa CCM hii ya kinafiki. Tena hatari kubwa ni akiwa Lowasa
 
Dr.Wilbrod Peter
Slaa ni mtu makini sana. Iko siku atatuongoza kama nchi.Tumuombee na
kumsaidia

Kumbe siku hizi kuzini na kuiba wake za watu ni umakini sana. Ewe Mungu ulipige hilo parapanda maana dunia ya sasa imejaa ufedhali maana mbaya sasa ni mwema na kinyume chake ni kweli
 
Kumbe siku hizi kuzini na kuiba wake za watu ni umakini sana. Ewe Mungu ulipige hilo parapanda maana dunia ya sasa imejaa ufedhali maana mbaya sasa ni mwema na kinyume chake ni kweli

hujui ulinenalo! Dr slaa jembe la ukweli.
 
Dr.Slaa anahuzunika sana mnavyomsanifu namna hii ilihali anajua kuwa hakubaliki tena Tanzania.

Mkuu hapo umeshamchagua Dk. Slaa. Mtoa mada anataka jina tu. Comment yako umemtaja Dk. Slaa hivyo kura yako tunampa Dk. Slaa. Pole kwakutoelewa topic umetusaidia ushindi. hahahaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom