Mkuu DARKCITY MaCCM hawana ubavu wa kuchuja corrupt candidate!!
Hivyo wakimleta kichwakichwa sisi chaguo ni Dr Slaa kiboko ya mafisadi!!
Nachagua Dr Slaa!
Lowasa aweza kufa kwa pressure 2015 maana anavyoutaka urais kwa udi na uvumba!!!!!!!!
Mzee lowasa, jitafakari aisee. Watu wajingawajinga Tz wengi wao wameshakufa.
....yaaani mamvi kaaibika mbaya, leo nimejifunza somo moja kwamba si lazima uwe ikulu ndo uwe rais wa nchi bali mchango wako kwa maendeleo ya taifa watosha kudhihirisha kuwa wewe ni rais wa taifa hili, asante dr. slaa na chadema kwa kufanikiwa kutengeneza taifa lenye matumaini mapya, Mungu awabariki sana.....
1. Nenda juu ya ukurasa wa JF utaona neno TOUCH.
2. Bonyeza neno TOUCH ili kufungua ukurasa mpya.
3. Kwenye ukurasa huo mpya shuka chini hadi mwisho utaona neno FULL PAGE.
4. Bonyeza hapo kwenye FULL PAGE.
5. Sasa unaweza kuingia JUKWAA LA SIASA hapo tafuta mada husika.
6. Karibu kwenye sanduku la kupigia KURA.
Mkuu unaweza kupiga kwa kutumia simu coz jf desktop inakubali hata kwa simu.!! Fanya click hapo juu palipoandikwa ''TOUCH'' ikishafungua shuka chini click neno ''full site'' then tafuta thread husika hapo utakuwa umefanikiwa!! Baada ya hapo unaweza kurejea jf mobile ulikozoea!!