Baba wa Taifa alituusia kujichunga na Lowasa kwani anautajiri wa kutisha wenye usiri na utata mkubwa aidha kashfa za richmond bado zinamtafuna hivyo hafai kuwa mgombea huku Slaa ana kashfa za ngono, ufisadi wa kuchota pesa za ruzuku za wanachama wa Chadema ati analipwa sh. milioni 12 kila mwezi kwa makubaliano na chama chake!!!
kwa ujumla wote hawafai!!!! tupa kulee majina yao nenda kalete wagombea wapya la sivyo kura yangu itakuwa ya maruhani!!!
Baya zaidi wote wanatoka ukanda wa Kaskazini na kuleta ukandanization ktk taswira ya nchi hii!!!
mimi nashauri Zito Kabwe au Tundu Lisu wagombee kupitia Chadema huku CCM wamlete Salim Ahmed Salim!