Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Hii kura haiwezi kuonesha hali halisi kwa sababu hakuna jinsi ya kuondoa madhara ya pesa za kifisadi (to account for the effects of grand corruption and laundered money)!!

Ndiyo maana tunahitaji mfumo ambao utaweza kuwaondoa watu wenye harufu za kifisadi (proved or incriminated) kwenye kinyang'anyiro cha urais!
 

Dr Slaa.


Sent from my Siemens C35 using Jamii forums
 

Wilbroad Peter Slaa.
 
Salary Slip Ndugu yangu mimi sio Mungu na naomba usinifananishe nae, mbona hujamuuliza mleta mada kwamba amejuaje kama hao ndio watakao gombea uraisi kwani yeye Mungu?. Niulize kitu kingine

Mleta mada ni mimi mwenyewe na ndio maana nikasema "endapo" wote wawili watateuliwa kuwakikisha vyama vyao.

Sasa wewe mwenzangu umeongea kwa kujiamini kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…