Hahaha safari hii lazima mteme nyongo. Katika ID zote hapo juu nawapa ruhusa Moderators waunganishe na ID yangu kama kuna ID yangu fake miongoni mwa hizo ID hapo juu.
Dr.Slaa hajawahi kujitangaza kuwa mgombea Urais na chama chetu kinafuata utaratibu.Watu ndio wanamtaka tofauti na huyo mgombea wako anayezunguka kujitangaza kwa kutumia hela za ufisadi na kuwalaza watanzania gizani.
Tangu ufunge safari ya kuhudhuria kongamano la mishikaki kule Monduli umewehuka kabisa.Acha ulimbukeni.Sijui mimi Ben ninaingiaje hapa hadi uanze kunitajataja.