Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

Umri mkubwa, Uzee, masikini Akili ziinarudi kuwa Kama za mtoto, masikini Slaa, huyu ndiye waliye kuwa wana taka tumpe nchi si vichekesho hivi.
 
Dr kachemka hadi katokota. Ni nani aliyemwambia SIDO wanatengeneza mitambo ya gongo. Hii nchi tusipoangalia tutakuja kuwapa wenda wazimu.
 
Mbona gongo imetusomesha wengiwetu, ule mvuke ukitengenezwa kwa kisasa na kuwekwa ktk standard za kimataifa 'kinana' watu wataacha kunywa.
 
Naona babu sasa amegeuka kuwa ze komedy

Mimi nitaongea na kina Mpoki wamchukue kwenye show zao , atafaa sana

We ni kilaza unayetembea umelala,hivi unajua bajet ya Tanzania inategemea mapato kutoka kwenye chanzo kipi?
Jaribuni kufikiri kidogo msipende kuropoka.
 
Dr kachemka hadi katokota. Ni nani aliyemwambia SIDO wanatengeneza mitambo ya gongo. Hii nchi tusipoangalia tutakuja kuwapa wenda wazimu.

Mungu anaipenda Tanzania ndio maana Slaa hakuweza kupata hata asilimia 30 ya kura za Urais!!!
 
If you can't fight US, join us.....

Hatimaye Dr Slaa kaliona hilo maana sisi watu wa Gongo na Nyama Pori huku Sikonge, hatujali sana kama Serikali inakataza au vipi. Hii misitu yetu ilivyo mikubwa, Bangi inalimwa peupee kabisa na hakuna wa kuiba.

Naona aende mbali zaidi na aruhusu Sex Shop na Madangulo kama Waholanzi na pia Bange iwe waziwazi. Ila ukivuta na kuleta fujo, adhabu yake iwe kali sana. Wanawake wameanza kuuzwa na kujiuza hata Yesu hajazaliwa na ndiyo biashara OLD SCHOOL kupita biashara zote kwa leo hii duniani. Watu walinunua Ze Utamu, wananunua na wataendelea kununua sasa kujifanya hii biashara haipo si ujinga? Ruhusu biashara, iwe wazi kabisa.

Kwa mfano Blow J** Tsh 5000, hapo kodi yake Tsh 300. Ukitaka usiku mzima, Tsh 30,000 na hapo kodi Tsh 2000. Ukikusanya kwa mwezi na jinsi Watanzania tulivyo na bidii na Watalii kibao wanaoingia kuja kumtafuta yule Dada Bhoke wa Big Brother aliyetetemsha kamguu, mbona tutakuwa matajiri sana. Haki ya nani hata mafuta na Gas hatutataka tena na hapo tutamuenzi Marehemu Kawawa kuwa "Uchumi tunao na hatuukalii tena" maana hapa hadi Mashoga nao watalipa kodi. Hapendwi mtu hapa. Kodi, kodi kodi hadi kieleweke.
Makamada wote ajira ajira ajira, Mohamedi Mtoi Mwita Maranya Mungi, Crashwise Godbless J Lema Feedback Molemo Matola ASHA Mohamed BAK Sikonge Mag3 Jasusi Mzito Kabwela Ben Sanane na makamanda wengine.

Jipangeni siku Chadema wakichukuwa nchi wote nyie mtakuwa mnamiliki viwanda vya Gongo.
 
Hali mbaya kwa Dr.Slaa baada ya kuona albamu yake ya ufisadi imefulia sasa kaamua kutoka ni single ya Gongo.

Gongo na konyagi vina tofauti gani?nenda kamuulize boss wako bajeti ya Tanzania inategemea chanzo gani?akikujibu uje tena hapa.
 
Ahh anawakilisha chama cha wavuta banging. Sio ajabu akirasimisha gongo. After all dola anayoongelea ni IPI?????? Labda chagaland
 
Gongo na konyagi vina tofauti gani?nenda kamuulize boss wako bajeti ya Tanzania inategemea chanzo gani?akikujibu uje tena hapa.

Ha! Mapenzi mabaya! Mnampenda babu mpaka mnakuwa wajinga! Hivi toka lini muuza gongo alilipa kodi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom