Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

wacheni kutoa povu gongo ikishaboreshwa haitaitwa tena gongo itakuwa kama kiroba hivyo madhara yanayowapata wanywaji gongo yatapungua kwa asilimia kubwa, mfano mzuri ni Kenya baada ya gongo kuruhusiwa
 
Nadhani anathibitisha kuwa hiki chama cha wanywa viroba. Hivi huyu dokt ndie alitaka kuwa rais??
Baadhi ya States huko Marekani wameligalize bangi(Marijuana) ili kuziingizia states mapato. Gongo sio kinywaji kibaya ni kwa kuwa tu kinatengenezwa katika mazingira machafu na bila kutumia ingredients salama. Watanzania wa vijijini hawawezi kuacha kunywa gongo kama sheria hazitabadilishwa kuruhusu gongo kuwa kinywaji halali na kitozwe kodi. Kwa njia hiyo bei haitakuwa rahisi kama ilivyo sasa ambapo ndio sababu watu wenye kipato kidogo wanamudu. I support Dr Slaa kwa hili. Ni chanzo kizuri cha mapato
 
Wewe kweli ni ichondi hajasema bangi amesema gongo.
 
Nadhani anathibitisha kuwa hiki chama cha wanywa viroba. Hivi huyu dokt ndie alitaka kuwa rais??

mmeona hayo mbona waziri anabaka anaendelea kuhifadhiwa!kwa hiyo kwenu wsbakaji hakuna shida,shida ni gongo?mme fi li gi twa!mboma hamjaandamana valuu mnaletewa?
 
Lema, jenga kiwanda cha Gongo Arusha makamanda wapate ajira.
 
Tofauti ya gongo na konyagi ni urasimishaji na kulipia kodi. Wajanja wameliona hilo wakaiweka kwenye packet wakaita viroba, wakalipa kodi ikaondolewa kwenye kundi la haramu. Binafsi sioni tatizo hapo

Ushawahi kunywa gongo wewe?
Ushawahi kumuona mlevi wa gongo alivo?
Ushawahi kuona pombe inavotayarishwa?

-jengine ni kwamba yule Slaa alikuwa kiongozi wa kanisa sasa kaona wapi maandiko katika hicho kitabu chao kinachoruhusu vitu vinavyodhuru{ulevi}
 
Tofauti ya gongo na konyagi ni urasimishaji na kulipia kodi. Wajanja wameliona hilo wakaiweka kwenye packet wakaita viroba, wakalipa kodi ikaondolewa kwenye kundi la haramu. Binafsi sioni tatizo hapo

Ushawahi kunywa gongo wewe?
Ushawahi kumuona mlevi wa gongo alivo?
Ushawahi kuona pombe inavotayarishwa?

-jengine ni kwamba yule Slaa alikuwa kiongozi wa kanisa sasa kaona wapi maandiko katika hicho kitabu chao kinachoruhusu vitu vinavyodhuru{ulevi}?
 
Nini faida na hasara za gongo ama anataka kuwamaliza watanzania kwa namna nyingine tena?

Huyu mzee mbona anazeeka vibaya jamani na washauri wake wamemruhusu kuzungumza maneno kama hayo ama ndo mabavu katika mfumo......!!?

Naomba yeye mwenyewe kabla ya kuwasalitisha watanzania na jambo hilo la uuwaji wa polepole aanze yeye kuwa mfano pale Ofisini kwake mtaa wa ufipa ili wafuasi wake tuone faida ya hiyo gongo na si kuangalia tu FAIDA bali aangalie pia na HASARA zitokanazo na hiyo NIAGIENI/NGUMU KUMEZA.
 
mmeona hayo mbona waziri anabaka anaendelea kuhifadhiwa!kwa hiyo kwenu wsbakaji hakuna shida,shida ni gongo?mme fi li gi twa!mboma hamjaandamana valuu mnaletewa?

Hakuna ushahidi wa hayo unayoyasema. Serikali haifanyi kazi kwa story za vijiweni, serikali haimuogopi mtu. Ukitaka kujua serikali ina mkono mrefu jipitishe kwa huyo waziri unaedai ni mbakaji, mtege akubake ukusanye ushahidi wote kwa wakati uone kama hatafungwa.
 
Baadhi ya States huko Marekani wameligalize bangi(Marijuana) ili kuziingizia states mapato. Gongo sio kinywaji kibaya ni kwa kuwa tu kinatengenezwa katika mazingira machafu na bila kutumia ingredients salama. Watanzania wa vijijini hawawezi kuacha kunywa gongo kama sheria hazitabadilishwa kuruhusu gongo kuwa kinywaji halali na kitozwe kodi. Kwa njia hiyo bei haitakuwa rahisi kama ilivyo sasa ambapo ndio sababu watu wenye kipato kidogo wanamudu. I support Dr Slaa kwa hili. Ni chanzo kizuri cha mapato

Utumwa wa akili na kuiga kila kitu cha nje utaacha lini?

Yaani na kusoma kwako koote kumbe uliyoyasoma uliyaacha katika vitabu...?!!!

Kweli bana ndo maana hata ule mfumo wa kuoana jinsia moja mliupitisha haraka bila pingamizi, yoote ni kwa sababu tu walisema Waingereza/wazungu,

Hongera kwako mwenye kifurushi cha marijuana kichwani,
Si kosa lako kwa uliyoandika ni kosa la kukubali kuwa mtumwa wa fikra,

Endelea kuwa wa kuambiwa kila kitu, nadhani hata ukiambiwa kuolewa hutopinga kwakuwa Wazungu wamesema.
 
Huyu Babu kaishiwa. Hoja zimemuishia, ubunifu hana, hoja ya ufisadi Zitto kaitia kapuni mpaka wamuombe msamaha, sasa anaanza vichekesho.

Amesahau kuna viroba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom