kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Na mkulu wenu mr Yohana Alcohol je?Naona babu sasa amegeuka kuwa ze komedy
Mimi nitaongea na kina Mpoki wamchukue kwenye show zao , atafaa sana
Na mkulu wenu mr Yohana Alcohol je?Naona babu sasa amegeuka kuwa ze komedy
Mimi nitaongea na kina Mpoki wamchukue kwenye show zao , atafaa sana
Magufuli je mbona kapita njia ziele?Nadhani anathibitisha kuwa hiki chama cha wanywa viroba. Hivi huyu dokt ndie alitaka kuwa rais??
Kwa hiyo Magufuli anasaka kura za wanywa gongo?Usitulaumu mkuu, hapo ndio uwezo wetu wa kufikiri umeishia, unadhani tutapataje kura za wapika gongo?
Hahhh Rits sasa babako Mgufuli kahalalishaUfipa lazima itakuwa depot.