Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

Ahh anawakilisha chama cha wavuta banging. Sio ajabu akirasimisha gongo. After all dola anayoongelea ni IPI?????? Labda chagaland

Nimegundua watu wengi mnaishi ishi tu hata hamjui nchi yenu inaendeshwaje.
 
Binafsi sijaona tatzo hata kidogn. Mbona majuzi tu gamba mwenzenu Ally Kessy bungeni kasikika na kuonekana kutetea bange ihalalishwe kisheria,pia hata ccm kuptia makada wenu mmehalalisha uuzaji wa madawa ya kulevya! Yote hayo hamuoni ila la CHADEMA ndiyo linawauma sana eeh? Achane upumbafu huo Lumumba b7. Isitoshe tofauti ya gongo na konyagi ama viroba vngne ni nini? Pumbafu kabisa nyie,tafakari kabla ya kuponda.
 
Binafsi sijaona tatzo hata kidogn. Mbona majuzi tu gamba mwenzenu Ally Kessy bungeni kasikika na kuonekana kutetea bange ihalalishwe kisheria,pia hata ccm kuptia makada wenu mmehalalisha uuzaji wa madawa ya kulevya! Yote hayo hamuoni ila la CHADEMA ndiyo linawauma sana eeh? Achane upumbafu huo Lumumba b7. Isitoshe tofauti ya gongo na konyagi ama viroba vngne ni nini? Pumbafu kabisa nyie,tafakari kabla ya kuponda.

Kwahiyo Ally Kessy ndio kipimo cha fikra za Dr. Slaa a.k.a Mzee wa Gongo
 
ulishasikia uganda waragi na nyingine za jinsi hiyo? Hiyo ni gongo iliyo halali Uganda. Why not in Tz?

Jambo jema usiige utakufa by da way kwani ni Lazima kila kinachofanywa na nchi isiyo Tanzania na sisi tufanye?
eti mbona uganda wanafanya?, uganda my foot ...!!!
 
Last edited by a moderator:
Godbless J Lema mshauri dr. ili tukishakomboa nchi tuhalalishe na bangi ili kulipa fadhila kwa vijana waliotuunga mkono kwenye maandamano!
 
Last edited by a moderator:
If you can't fight US, join us.....

Hatimaye Dr Slaa kaliona hilo maana sisi watu wa Gongo na Nyama Pori huku Sikonge, hatujali sana kama Serikali inakataza au vipi. Hii misitu yetu ilivyo mikubwa, Bangi inalimwa peupee kabisa na hakuna wa kuiba.

Naona aende mbali zaidi na aruhusu Sex Shop na Madangulo kama Waholanzi na pia Bange iwe waziwazi. Ila ukivuta na kuleta fujo, adhabu yake iwe kali sana. Wanawake wameanza kuuzwa na kujiuza hata Yesu hajazaliwa na ndiyo biashara OLD SCHOOL kupita biashara zote kwa leo hii duniani. Watu walinunua Ze Utamu, wananunua na wataendelea kununua sasa kujifanya hii biashara haipo si ujinga? Ruhusu biashara, iwe wazi kabisa.

Kwa mfano Blow J** Tsh 5000, hapo kodi yake Tsh 300. Ukitaka usiku mzima, Tsh 30,000 na hapo kodi Tsh 2000. Ukikusanya kwa mwezi na jinsi Watanzania tulivyo na bidii na Watalii kibao wanaoingia kuja kumtafuta yule Dada Bhoke wa Big Brother aliyetetemsha kamguu, mbona tutakuwa matajiri sana. Haki ya nani hata mafuta na Gas hatutataka tena na hapo tutamuenzi Marehemu Kawawa kuwa "Uchumi tunao na hatuukalii tena" maana hapa hadi Mashoga nao watalipa kodi. Hapendwi mtu hapa. Kodi, kodi kodi hadi kieleweke.

Inawezekana Slaa kajifunza haya kwenye ile ziara yake ya Marekani aliyoenda na Josephine
 
Last edited by a moderator:
Duhh ni matatizo ya kuonja ile bia ya bigwa enzi hizo. Sasa naona baada ya kupigwa marufuku kibabu anataka akipewa nchi aihalalishe kwa style nyingine.
 
Yaani katika yote mazuri anayoona yanafaa kuwatendea watanzania I kaona Gongo ndo la maana zaidi, aka ndo uti wa mgongo wa watanzania. Katuchoka kweli huyu Mhe. Hivi kabla ya Siasa alikuwa nani? Bora arejee alikotoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom