Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

kweli Ukawa wanaweweseka na machine za Ccm. huyu mama kweli ni mashine isiyochuja ktk nyanja ya siasa. ukiondoa mzee wa Pamba nyeupe kula yangu lazima apate. akinamama lazima mjidai kwa kuwa na mama mwadilifu.
tokea ujiunge jf hujawahi kuongea point,jitahidi basi hata siku moja!
 
kweli Ukawa wanaweweseka na machine za Ccm. huyu mama kweli ni mashine isiyochuja ktk nyanja ya siasa. ukiondoa mzee wa Pamba nyeupe kula yangu lazima apate. akinamama lazima mjidai kwa kuwa na mama mwadilifu.

Wewe utakuwa Mama Tibaijuka
Unajisifia mwenyewe!
 
Tehetehetehetehe! Kumbe mpaka sasa UKAWA hawana mgombea urais? Mara wamguse Lowasa na sasa Tibaijuka. Bahati mbaya kwao ni kuwa wote hawa ni ccm damu
 
Daah!! Huu ni ukurupukaji wa khari ya juu sana!!

Ebu fikiria, Dr. Slaa ammwagie hizo sifa Anna!! Kwamba yeye Dr, Lipumba, Mbatia, Lisu, hawafai kuwa viongozi hadi Anna ambae wao UKAWA walishamponda hadharani!!

Lakini pia unasema "kujua zaidi, muulize msaidizi wake wizarani"!! Baada ya dakika 2 tu unasema "kujua zaidi muulize Lwakatare"!!!

Astaghafrurahh!!
 
siamini habari hii, inawezekana ni zile za kupikwa na kuchafuana.
 
ningekuwa mm ndiye nawalipa vijana wa lumumba,ninge ku disqualify.
 
pumbafu kabisa, yaani hilo jimama ndo ligombee ukawa? nitakunya barabarani. mbuuu
Utakunya maha mavi?
image.jpg
 
ningekuwa mm ndiye nawalipa vijana wa lumumba,ninge ku disqualify.
Duh! Bahati nzuri ni kuwa Lumumba tuna kila aina ya vijana. Pia kuna vijana wa kila kalina wanasupport CCM ambao wapo kila kona ya dunia hii
 
CCM kweli imekwisha kabisa, yaani imekuwa na wapiga propaganda uchwara kiasi hiki hata kuandika pamoja na kupanga paragrafu tu hawajui?! Kweli?
Dr Slaa ahanza mazungumzo ya siri na Prof. Anna Tibaijuka ili ajiynge na Chadema na mgombea Urais. Aliendelea kumshawishi na kumuhakikishia kwamba wao kama ukawa wamefikia maamuzi hayo na yeye kuteuliwa kufanya juu chini ya kuanza mazungumzo ya kumshawishi ili aweze kuwa mgombea kwa upande wa Ukawa kwa kuwa wao wamemwona ni mwanamama mchapa kazi na ni Mtanzania wa kwanza kufanya kazi UN kwa muda mref wa miaka 17 bila kuboronga. pia so fisadi na ni mwadilifu ktk kila sects alizofanya kazi tens kea uledi wa hali ya juu. Nduguzangu nawaombeni mlio Malibu na Prof. mumshauli asikubali kuungana na wachumia tumbo. source Lwakatare
 
Naona Lumumba imekutuma kumzushia Lwakatare ka kawaida yenu!!!
 
Back
Top Bottom