RaisMtarajiwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 704
- 65
Alafu we pimbi usinikoti kuandika utumbo wako hapa......:suspicious:
matusi ya nini? mwanaizaya huna hoja
Alafu we pimbi usinikoti kuandika utumbo wako hapa......:suspicious:
matusi ya nini? mwanaizaya huna hoja
Acha kukariri wewe,Khaa!!! Safari hii ataomba kulipwa mshahara wa rais?? Nauliza tu..
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Khaa!! Nauliza tu!!Acha kukariri wewe,
Mkuu huyu mzee naona anachekesha sana hivi leo bado anawaza urais kweli lakuvunda halina ubani hivi kweli hajitambui kuwa kachuja kama nguo za rangi.
Hoja yako nimehikubariYeye na Mbowe wameharibu chama kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anaona uwezekano wakupata urais hakuna. Mbona hakusema hivyo baada ya uchaguzi mkuu wakati Chadema ilikuwa na nguvu?
Si alimtongoza mama yako? Au hajakusimulia?
kikwete hawezi kutamka haya maneno,anajua 2010 aliiba kura,akisikia jina slaa kifafa kinampanda anaanguka jukwaani....
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.