Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Hivi bado kuna watu wanaamini Slaa atakuja kuwa rais wa Tanzania.
Ningekuwa mshauri wa Dr Slaa ningemshauri asigombee tena uraisi kwa awamu nyingine tena ni katika kulinda rekodi na heshima yake ushindi aliyoupata 2010 Sina uhakika atafikisha nusu yake kama atagombea tena 2015 kupitia chama alichogombea nacho 2010
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
well said. nashangaaga hawa watu akili zao wamezipeleka wapi. angeshindaje na wabunge 23 tu? sijui hata hiyo serikali angeiendeshaje. wale wa kukuelewa watakuwa wamefunguka. ila wale wanywa viroba ni ndoto,Kikwete aliiba kura za urais na ubunge? Mbona mliambulia wabunge 23 tu? hata Slaa angeshinda urais angewezaje ku-survive na wabunge 23? Uongo mwingine hata haufanani na ukweli.
Vipi ACT imebuma?mwacheni dr.wetu wa ukweli apumzike..hongera sana slaa kwa kuamua kupumzika
Wana ccm kwenye NEC, wamependeza hawajapendeza?Cheki aina ya viongozi wenu View attachment 164393
well said. nashangaaga hawa watu akili zao wamezipeleka wapi. angeshindaje na wabunge 23 tu? sijui hata hiyo serikali angeiendeshaje. wale wa kukuelewa watakuwa wamefunguka. ila wale wanywa viroba ni ndoto,
Hata kama akigombea hata pata.
ccm ndiyo chama cha matapeli walisema maisha bora kwa kila mtanzania kumbe maisha bora kwa watawala angalia posho ya siku ya nape uangalie na mshahara wa mwezi wa mwalimu ndiyo utajua nina sema kitu gani.Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
ritz unafikiri bila vurugu za wapiga kura kudai kuibiwa, mza leo mb angekuwa Wenje? angalia shy ilikuwaje, karagwe je,rukwa, kutaja sehemu chache, hivyo madai yako kuwa alipata wabunge 23 hayana maana kama haki ingetendeka wabunge wangekuwa wengi tu kiukweli watu tumechoka tunataka mabadiliko,nionavyo hakuna kilichobadilika hivyo hasira zetu mtakumbana nazo kwenye ballot box andaeni polisi wengi, vifaa vya kisasa, pesa za kuwanunua akina yuda nazo ziwe nyingi kwani hivyo ndo vinavyoweza kuwafanya mshinde 2015.Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Dr Slaa ahanza mazungumzo ya siri na Prof. Anna Tibaijuka ili ajiynge na Chadema na mgombea Urais. Aliendelea kumshawishi na kumuhakikishia kwamba wao kama ukawa wamefikia maamuzi hayo na yeye kuteuliwa kufanya juu chini ya kuanza mazungumzo ya kumshawishi ili aweze kuwa mgombea kwa upande wa Ukawa kwa kuwa wao wamemwona ni mwanamama mchapa kazi na ni Mtanzania wa kwanza kufanya kazi UN kwa muda mref wa miaka 17 bila kuboronga. pia so fisadi na ni mwadilifu ktk kila sects alizofanya kazi tens kea uledi wa hali ya juu. Nduguzangu nawaombeni mlio Malibu na Prof. mumshauli asikubali kuungana na wachumia tumbo. source Lwakatare
:der::der::der::der:
Anna Tibaijuka? Kweli?
:wave::wave::wave::wave:
kweli Ukawa wanaweweseka na machine za Ccm. huyu mama kweli ni mashine isiyochuja ktk nyanja ya siasa. ukiondoa mzee wa Pamba nyeupe kula yangu lazima apate. akinamama lazima mjidai kwa kuwa na mama mwadilifu.