Urais si kama kunyanyua vyuma.
kwa maana hiyo hata EL anafaa!
Urais si kama kunyanyua vyuma.
Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:
kwa maana hiyo hata EL anafaa!
- Yaaani Tanzania tutakuwa na Rais wa kwanza asiye na mke na miaka 75 this is a joke man!!
Le Mutuz
Kwan Rais wa Botswana ameoa..kuoa ni maisha binafsi..hiyo ni weak point..hao waliooa wamefanya nini..embu acheni kuwaza kama watoto wa darasa la pili..wapi imeandikwa kwenye katiba ili uwe rais lazima uwe umeoa
Dr.slaa ni jembe yaani asilimia mia moja anafaa sana na ndiye atakaekuwa Raisi 2015 hata ccm wakichakachua vipi huyu ndio atakayeipeperusha bendera ya chadema ikulu.peoplesssssss powerrrrrrrr
CCM mlivyo wazinzi mnawaza ngono tu badala muwaze maendeleo ya wananchi nyie zenu kugegedana tu mafilauni nyie. Mnauza Nchi kwa wachina, wendawazimu nyie for sure mnakera sana na comments zenu nyepesi namna hiyo. Kwani kuoa ni lazima?? Eti dume zima Tanzania itakuwa Nchi ya kwanz kuwa na raisi asiyeoa kwa miaka 75.
CCM ninahasira na nyie sana mnatupelekesha sana, maji shida, umeme shida, elimu fully magumashi, hospital dawa panado, barabara shida, mnakalia uzinzi tu
Hawazidi wa cdm bungeni kila mmoja na hawara yake
DR SLAA ndio rais anayefuatia .
mkuu. una roho ngumu
mkuu. una roho ngumu
Ni kweli mjomba , mimi si ni kamanda ! Kwani kuna kamanda mdebwedo ?
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka, kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.
Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.
UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.
Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."
Chanzo: Mtanzania Juni 11, 2014
My take:
Dr slaa ni kiongozi mtiifu

Sizitaki mbichi hizi ...Ndivyo anavyoonekana kuwaza Dr.Slaa.
Heri tapeli wa kisiasa kuliko tapeli wa rasilimali za Taifa letu kama chama tawala kilivyo!Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.