DR SLAA ndio rais anayefuatia .
Rais wa yanga au FM academia? Nyie mnaona hii nchi ni kama malapa ya msalani?? Kila mtu anavaa tu wala hayaitaji size
Hili nalo ni tatizo,kwa mtu asiye ona mbali,"hivi unafanishaje urais na mke?hivi kweli tanzania mnataka tuchague nani kati ya fisadi,mlarushwa,na mtu ambae hana mke! halafu mtu na elimu yake anataka atushawishi kwamba bora rais fisadi au mralushwa? hii ni hatari!huyu nae ni fisadi kama mafisadi wengine,uongonzi ni zaidi ya mke,mbona hamsemi kama tuna viongozi wenye wake lakini nchi yetu inasukumwa tu kama mlevi wa mataputapu?(pombe za kienyeji)"hamna hoja ya msingi muwaachie wasio na wake waiiongoze nchi isonge mbele,kuliko ngonjera mnazo imba hizo,
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Rais wa yanga au FM academia? Nyie mnaona hii nchi ni kama malapa ya msalani?? Kila mtu anavaa tu wala hayaitaji size
Mkuu swala la kuoa ama kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi na usipende kumchumguza mtu sana kuhusu ndoa ninavyofahamu ndoa huwa nimakubaliano ya watu wawili muoaj na muolewa hvyo mtu anaweza kuoa au kuolewa bila kuwatangazia maana nimakubaliano yao unaweza kumdadis mtu sana mwisho akatoa jbu kuwa mkewe ni mamako hapo utabisha sasa!! ee e maana wao ndyo wanaojua makubaliano yao labda walitaka iwe sili ndoa yao.
Kiukweli viongozi wa juu wa chadema akiwemo Dr.slaa wamekifanya chama kupoteza mwelekeo
Kiukweli viongozi wa juu wa chadema akiwemo Dr.slaa wamekifanya chama kupoteza mwelekeo
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.