Baba yako alibadilisha dini ili awe waziri mkuu enzi za Mwinyi>>>>>>>> Na wewe unakumbuka aliyekuchora tatooo kwenye makaliooo???!!! Bisha ili tuiweke picha ya makalio yako..
Kwani huyo Dr Slaa kaoa?
Kwani huyo Dr Slaa kaoa?
bado wako kwenye uchumba WANACHUNGUZANA
Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:
ndoa si mchezo kama uiwezi ndoa moja watu mil 44 wataku r.i.p b4BABU bado anakula UJANA.
- Yaaani Tanzania tutakuwa na Rais wa kwanza asiye na mke na miaka 75 this is a joke man!!
Le Mutuz
Anaye wa kupora, bado mchumba
Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:
Tuache utani josefin mushumbus ni noumeer..Yani Slaa katelekeza watoto kwa ajili ya josefin..huyu mhaya ni balaa..
Sipendi siasa hata kidogo ila Dr slaa ni viongozi wasio wan
a siasa
Urais si kama kunyanyua vyuma.vipi kuhusu afya yake nae,hebu angalieni anapohutubia anavyoshika kipaza sauti
Umeandika kichovu sana !Swala la ADA mashuleni lilizungumzwa na LIPUMBA wakati wa MKAPA.Vifaa vya ujenzi hebu angalia ILANI ya CCM,Swala la Slaa kuweza taasisi ya uraisi hawezi imemshinda familia ya watu "5 ataweza watu milioni 45!!!Babu kapoteza mvuto.