Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!


Chadema haina uongozi ina kundi la wahuni wanaoganga njaa kupitia siasa,hawa mahawara wanahistoria ndefu ya kuishi maisha ya kuunga unga mjini
 
Angekuwa KJ hapo angetoka na mabegi ya jezi na jeans za akina Fifte senti. Msishangae kuja kuambiwa ameshirikishwa kwenye wimbo wa Lil Wayne...

mkuu zihurumie mbavu zangu asubuhi..nasikia wapambe wametumwa kueeka appointment ya mkulu kukutana na lady gaga na justin bieber apige nao picha
 
tatizo lako mndengereko mpaka uone sinia la sembe na nguru wa kulumagia ndo kwako chakula

Kwa hiyo makaratasi hayo ndio chakula? hapo hata Gavana kakwepa baada ya kuwapa dakika tatu za kusalimiana ofisini kwake.

Hivi uongo unawasaidia nini?
 
Tubezane kwa kasi mpya na nguvu mpya ila mwenzetu anachokipata hakika haitakuwa faida kwake pekee ni kwa watanzania wote:

Mzee slaa ni kipenzi cha watanzania wengi, kaifanya ccm ionekane kama ilivyo leo, challange waliyoipata ccm ilipaswa wamshukuru sana huyu mzee, sema kwa vile wamejaa viburi na nyodo ndiyo maana wanamdharau ila sisi we do respect this him sababu kasaidia mwananchi kujielewa na sasa haburuzwi mtu hovyo hovyo
 
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!


eti nawe umechangia!
 
Naona kuna document zinabadilishana mikono pale lakini tatizo ni kwamba Dr. Slaa yupo peke yake. Isije ikawa ni mikataba kati ya CHADEMA na Alabama?

Unavyohangaika mpaka nakuonea huruma.Dr Slaa atawapelekesha sana!
 
attachment.php


WanaJF katika kuendeleza uongo wa misukule tulitambulishwa na mleta uzi kuwa hawa ni walinzi wa Dr Slaa
attachment.php


Inashangaza kuona walinzi wamekaa meza moja wakipiga deal hii protocal ya wapi? ebu angalia waliokaa upande wa kushoto kuanzia mtu wa tatu mpaka wa nne utagundua ukweli
 
Ndio wenye Tanzania na wenye uchungu hawa wazungu ili upate kitu toka kwao lazima wakutumie kama mpira wa kinga

unawezaje kujibu mara tano thread moja? tatizo ni nini unagombana na mtu hapa au? au ni moja ya ajira uliyonayo.....idiot...naomba majibu..
 
Kwa hiyo makaratasi hayo ndio chakula? hapo hata Gavana kakwepa baada ya kuwapa dakika tatu za kusalimiana ofisini kwake.

Hivi uongo unawasaidia nini?

Wewe mpaka uone sinia la pilau, angalia vizuri mandhali ya eneo hilo ni Dining Room ya Office ya Gavana, unaona vijimeza vya mbali kuna visahani, stool ndefu na glass za wine. Wenzetu hawana muda wa kupoteza, hata wakiwa wanakula wana discuss business tofauti na huku watu wanapeana mbinu za jinsi ya kuiba pesa za umma!
 
=> Aibu tupu....Tanzania ni pagumu..?? sbb ufisadi...

=> Uongo wa mchana mchana tumechoka...there are many US...Gov. orgs & NGOs....so this is pure lie....if they can come & work with CDM sawa hatukatai....cdm ipo kipi kinawazuia wasije....?? waje as NGO....

=> Aibu tupu sioni kitu hapa...
 
TUACHE UNAFIKI PENYE KWELI TUTOE THUMBUP ZIARA ZOTE ALIZOFANYA DR W SLAA NI ZENYE TIJA KWA TAIFA LETU ANAGUSA KILIMO,ANAGUSA VIWANDA,KAMA WASOMI WAELEWA TULINGANISHE KWA UMAKINI NA ZIARA ZA KUNDI KUNDI KUBWA LA CCM LILIZURU AMERIKA TUGEGEDUWE SHABAHA ZA VYAMA HIVI CCM/CDM KWELI CCM NI WALA MBUCGHI WITH MUCH SPENDING AND NO PROPER FUTURE FOR ALL PEOPLE OF TANZANIA FRM RURAL to URBAN ,EXCPT ABOUT 250 EX LEADER OF CCM WHO WITH HOLDING THE DESTINY OF 45M PEOPLE OF TANZANIA AND BULL THE WAY THEY WANT!adios amigo
 
Hivi mwigulu yeye ziara zake amekutana na akina nan? Ila dr slaa wnampenda watu.
 
Back
Top Bottom