Hajachelewa....LOWASSA ni sawa na 10,000000 CCM watakaohamia CDM
BAREGU ni yeye km yeye Baregu ni sawa na I ACT
Unalo Boya wewe..mmeshaambiwa bao la mkononi mwisho bafuni..Na wewe kilaza kweli hao watu waliokuwa wanaandikishwa huku mtaani wengine kwa kudanganywa ni vikundi vya jogging nao unawajumuisha kwenye hiyo idadi?propaganda za kipuuzi hizo tumia akili.
Mjinga sana na uzi wako wa kisho...
Unalo Boya wewe..mmeshaambiwa bao la mkononi mwisho bafuni..
Lumumba viti vina moto
Lumumba naona mnapoza machungu kwa hadithi za kusadikika. Chadema wako makini kuliko mnvyofikiria.
cdm chama cha ukoo kweli kesho Mbowe akisema kaskazn ni nch ni ndyo mzee