Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Status
Not open for further replies.
Ni kweli wewe ni mpumbavu lakini tu kwa kuwaita wanaharakati wa kweli inzi (nadhani ulikuwa ukimaanisha "nzi"-si kosa lako ni elimu yako). Lakini pia wewe ni "mjinga"kwa kuwa umeshindwa kusikiliza, kuchambua na kuelewa hotuba nzuri, makini na rahisi kueleweka ya Mh. F. A. Mbowe ya kumkaribisha E. N. Lowassa CHADEMA na UKAWA. Ungetuliza akili yako kumfuatilia ungeona bila jasho majibu ya maswali yote wanayo jiuliza Watanzania na hata yale yanayokusumbua wewe ndani ya fuvu lako.

chukua basi kopo ujitawaze kisha nenda chukua makaratasi yaambie yakulale funza wewe
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Sasa Huko ACT Sio Matapishi? Waende Tu Kwani Sote Ni Wakosa Na Mbora Wa Wakosefu Ni Yule Mwenye Kuomba Radhi, Mtu Asiyekubali Kushindwa Utamjua Tu! Mbowe& Lipumba Tumewaona Mara Baada Ya Matokeo Wakihudhuria Raisi Akiapishwa, Hvi Ndo Tunaita Siasa Bila Chuki.
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Si bure utakuwa umetumwa haya wewe masalia ya zito au utakuwa mchumia tumbo wa lumumba nenda kachukue malipo ya ujira wako kwa nape
 
Duh ni wewe babu unatumia the 'nge' word
Nakubaliana nawe kuwa hawezi kwenda huko lkn hiyo lugha sio kabisa

Nimeitafuta hiyo post nadhani Andrew Nyerere kesha ifuta wakati usha mquote tayari. Hata hivyo jibu lake lilikuwa ndio sahihi. Huyu jamaa sijui Dr wa tunguli, anapenda sana kwenye issue muhimu kuchomekea habari za chama lao na Ayatu.lla ili kulazimisha attention ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Mafisadi watabaki wenyewe mungu yupo na wazalendo wa taifa hili wakiongozwa na magufuli.
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Umemaliza? Nenda pecock kamshangilie bos wako kuna bahasha nene kule kuliko huku
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

Politiacs ushaambiwa ni dynamic gamba wewe..
 
Umaarufu wa CDM hautokani na mtu bali mfumo waliojitengenezea na unafuatwa na kila ajae CDM.
 
Mtoa maada alikuwa ameota ndio maana amurupuka kuadika kitu ambacho hakina ukweli
 
1438165750304.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom